JICHO LA WAZAWA
Member
- Jan 2, 2013
- 16
- 3
Mkuu hapa umenichanganya kidogo, hoja yako kuu ni, USHIRIKINA au ADA?.
Katika hali isiyouwa ya kawaia au kuaminika masikioni mwa walio wengi ni kuhusu hii dini ya jamii ya siri fremasons ambayo kwa siku za karibuni imekuwa ikitajwa sana na midomo ya watz wengi.
Hivi karibuni kuna tukio lililotokea katika shule ya st marigoreti iliyopo mjini moshi inayomlikiwa na na watawa wa shirika la bibi yetu wa huruma jimbo katoliki la moshi kuwa kuna mwanafunzi alifariki katika mazingira ya kutatansha
picha ilivyokuwa
mwanafunzi huyo mtawa aliyekuwa akijiendeleza kimasomo alifariki ghafla ndani ya bweni bila kuwepo kwa sababu zozote za kifo chake hicho ila hapo awali wanafnzi walishalalaika kuwa kuna vitu visivyofahamika vinavyoonekana usiku na hata kufikia hatua ya kuwanyonga wakiwa usingizini ni pamoja na mwanafunzi huyo aliyefariki imeelezwa.
Kwa mujibu wa taarifa za wanafunzi waliopo likizo katik maeneo mbali mbali hapa jijini dar walisema wamekuwa akitoa taarifa kwa mkuu wa shule(ambaye ni sister njau) kuhusiana na hali hiyo lakini wamekuwa wakijibiwa kuwa ni miujiza ya mungu na ndio maana wana akili sana.
Katika kudhihirisha hilo kuwa kuna nguvu isiyo ya kawaida mkuu huyo wa shule amekuwa akipandisha ada kiasi kama ukilipa ada ni kama unanunua shule lakini hata askofu hathubutu kuingilia kati na huku sister akizidi kuwa jeuri
tutafute ufumbuzi ……..tiririka

tutafute ufumbuzi ..tiririka
Aisee kama ni unataka kuichafua hii shule hapo andika umeshindwa....
Maana hueleweki, ni ada imekushinda kulipa au ni nn...?
Kama ada imekushinda mpeleke mwanao Kata...
can you justfify how kukabwa kwa wanafunzi usiku,na mambo ya ajabu kuwatokea ,na kifo cha huyo Sista kwamba kuna husiana na freemason?.....je wote wafao ghafla vifo vyao husababishwa na ni imani hizo,ama je,hukuweza kusoma hapo kwa hiyo una chuki binafsi,.............THINK
Tatizo taasisi nyingi za dini zina mambo yasiyo mazuri ni tuhuma za muda mrefu sana kama vile madawa ya kulevya nk sasa nani wa kumfunga paka kengele?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Hii ni mara ya pili anakuja tena hapa...Huyu naona ana chuki binafsi na mkuu wa shule...
Huyu anachuki binafsi na Mkuu wa shule....
Alikuja hapa na thread yake hii akawa ameandika kama anaharisha watu wakaponda sasa naona kaja tena....
Mwanzo alisema kaongea na baadhi ya walimu na wanafunzi hapo shuleni sasa kaona kaingia chaka maana watu wangehoji sasa hivi wanafunzi wote na walimu wapo likizo; akabadilisha akasema ameongea na wanafunzi walioko likizo....
Nimemsoma huyu anachuki na mkuu wa shule...