Hata Mimi sijaelewa kwanini wanafanya hivyo,labda yaweza kuwa ni moja ya sharti kuwa unatakiwa kujihusisha na masuala ya ibada. Maana wapo watu wenye majini yenye kuwalazimisha kufanya ibada na wasipofanya hivyo wengine huumwa.
Hivyo mimi nadhani nao pia watakuwa wanalazimika kuwa watu wa imani.
Nadhani ni ili kuipoteza maboya Jamii wanayoinguzuka na kuficha maovu yao kupitia dini/iman,hivyo nyumba za Ibada wanazigeuza kichaka cha kufichia uovu wao na by the way sio Wachawi tu bali hata Wazinzi pia wamo,wezi pia wamo,waongo,wasengenyaji,wafitini,wala rushwa,nk nk kifupi nyumba za Ibada zimejaa wanafki wasiotenda yale wasiozungumza ILA SIO WOTE BAADHI!
Kweli Mimi nimewaona wengi kweli na ninawapaga ukweli wao wanabadika ukiwagundua,alafu wanakuchukia na kuwaaminisha watu wakupuuze wasiamini ukweli wako nami siwaaogopagi nawachama live
Wewe Sema waziwazi ni watu wa Dini gani.
Usimumunye, weka wazi Tuu, kusiwe kuna kushakiana.
Kama utakusudia waislam ni kuwa yoyote anaefanya ushirikina. Mwenyezi Mungu hamsamehe kamwe ikiwa atakuwa hali ya kuwa hajatubia.
Kwenda kwa mganga ukamuamini alichosema, MUDA wa Siku 40 hukubaliwi ibada zako, an ukifa kwenye kipindi hicho ni motoni tuu.
Ukiwa utakusudia wakristo sijui maandiko yao yanasemaje, ila tumeona hapa JamiiForums ya kuwa PASTOR anawambia waumini wajitie mikono chini wapate baraka, Mara wale majani, mara atembee juu ya migongo yao.
Sasa hii sijui Ndio ushirikina ulokusudia au?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.