Vitu vya namna hii mara nyingi hukutwa kwenye njia panda au chini ya miti mikubwa yenye majani yaliyosheheni.
Njia panda. Umesema kweli unakuta na nazi zilizovunjika(vipande vipande), mayai na sarafu, mimi kuna siku na wenzangu tunatoka mpirani mimi nikaokota zile sarafu wenzangu wakawa wananiambia "wewe utadhurika" mimi sikujali niliziokota nikaenda dukani nikazitumia na hakuna chochote kilichotokeaVitu vya namna hii mara nyingi hukutwa kwenye njia panda au chini ya miti mikubwa yenye majani yaliyosheheni.
Njia panda. Umesema kweli unakuta na nazi zilizovunjika(vipande vipande), mayai na sarafu, mimi kuna siku na wenzangu tunatoka mpirani mimi nikaokota zile sarafu wenzangu wakawa wananiambia "wewe utadhurika" mimi sikujali niliziokota nikaenda dukani nikazitumia na hakuna chochote kilichotokea
Hakuna lolote lile zaidi ya ukafiri ndio unawasumbua watu kutokumwamini m/mungu kama ndiye mwenye nguvu za kutoa matatizo yote yanayotusibu wanaadam,inashangaza kuona target ya hao makafiri washirikina ni wanyama wasiokuwa na hatia yeyote ile hawa ni baadhi ya victims wa ushirikina,Paka mweupe au mweusi,njiwa ,mbuzi au kondoo nazi mdondo,pesa za coin,viwembe n.k
Mkuu, kuna wabunge watarajiwa wanaomba uwabandikie namba za simu za hawa wataalam.
kwa hiyo huyo paka amesha resti ini pisi...daaa mbele yako paka wenzio nyuma yako
Hahahaaaa Jamaa_Mbishi bwana...!!!