Ushirikiano kwenye mtihani !!

Mu-Israeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
2,454
Reaction score
975
'Mbinu' nyingine hazifai kwenye mtihani !!
 

Attachments

  • Exam Teamwork.jpg
    47.3 KB · Views: 226
safi sana saidiana hiyo bana
Sasa unataka jamaa afail aise wakati material hazipandi
 
DC wa Korogwe anaziita digrii za ch*****p
 
safi sana saidiana hiyo bana
Sasa unataka jamaa afail aise wakati material hazipandi

Check hii hapa, ... sio ya kawaida !! Hapo ukiwa ndio msimamizi wa exams, huwezi kupekua !!
 

Attachments

  • exam cheating01.jpg
    47.3 KB · Views: 335
Kumbe yanayotokea bongo ni impact ya globalization!
 
Dah,,,,,tar 8 oktoba ntakua kwenye usimamiz wa mtihan wa form IV i've to b kea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…