Helo wanajf,kulingana na title natafuta mwanamke au bint aliye tayari tushirikiane kuendesha saloon ya kike,kiukweli imenishinda kuendesha kwasababu mm ni mwanaume.
AU
Aliye tayari nmukodishe vifaa vya saloon ya kike aendeshe mwenyewe( vifaa vyote vya saloon vipo,kama dryer,stimer,rolerz yan vyote vingne cvijui vinaitwaje)
AU
Aliyetayari nmuuzie vifaa vyote vya saloon ya kike npo tayar bei maelewano baada ya kuviona,saloon yenyewe nmeifunga kwasasa lkn ipo mbezi-kimara sehemu inaitwa kibanda cha mkaa,mwanamke au binti aliyetayar aniPM