Mmmm kaenda kufanya kazi gani? Ina maana jamaa kashindwa hata kazi ya kusukuma mkokoteni?
Jamani kwani imeandikwa wapi au kuna sheria ipi isemayo kubeba mtoto mgongoni ni kazi ya mwanamke? Tuwe na ushirikiano wandugu haaaah
Hamna mbay si watafute HG ili wote wakatafute faranga
Kama Baba anaweza kubeba mwana mgongoni bila matatizo yoyote, basi hakuna ubaya wowote.
Sema wewe bwana
wameshindwa kuafford kuajiri hg na kuongeza kichwa kingine ndani ya familia. baba anatafuta kazi bado hajapata! umeridhika?
The Following User Says Thank You to Dena Amsi For This Useful Post:Wanaume wengine wamejidekeza sana na kuona kwamba kumsaidia mkeo kazi za nyumbani basi uanaume wao utapungua au kuogopa kuambiwa wamelishwa vya kulishwa, kumbe hii inasaidia kuongeza mapenzi ndani ya nyumba.
Wanaume wengine wamejidekeza sana na kuona kwamba kumsaidia mkeo kazi za nyumbani basi uanaume wao utapungua au kuogopa kuambiwa wamelishwa vya kulishwa, kumbe hii inasaidia kuongeza mapenzi ndani ya nyumba.
Vipi mukubwa upo nyumbani?
:becky::becky::becky::becky::becky: usiogope mukubwa ni vijiswali tuuu:becky::becky::becky::becky:
Kweli ameridhika maana anachapa kazi kweli kweli na huku anatabasamu inaelekea kuna rundo la nguo za kufua zinamsubiri na baadaye achemshe maziwa ya mtoto na kupika uji wa mtoto na kumlisha mtoto akiamka. Ila nasikia hii inawatokea sana wanaume wa huku kwetu wakipata kisichana kidhungu na kwenda nacho kwao ulaya
umepika mwenyewe nami nikaribie?hahahahahaha eti ni vijiswali tu lol! karibu ugali na samaki wa kukaanga, majani ya maboga kwa nazi na bamia za nazi pia na maji baridiiiiiiiiii
:whoo: