Ushiriki wa Tanzania katika umiliki wa rasilimali madini: Barrick 84% na Tanzania 16% maana yake nini?

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,222
5,946
Serikali yetu awamu hii ya tano imevurugana na wawekezajI katika sekta ya madini katika jitihada za kuhakikisha Tanzania kama taifa tunapata haki yetu kwa muktadha wa WIN-WIN. Lakini kwa taarifa tunazopata baada ya yote hayo ni sisi 16% na wao 84%. Kwa macho hapa WIN-WIN ni kama haipo.

Kwa bahati mbaya hakujafanyika jitihada za kuelimishana ukweli na uhalisia wa huo mgawanyo zaidi ya kuzomeana na kuambiana maneno yasiyo na staha.

Mwaka 2010 Bunge letu lilipitisha sheria ya madini ya 2010 sheria na 4. ambayo kifungu chake cha 10 kilikuwa kinamulekeza waziri kuwaambia wawekezaji kuwa tunazo 16% za umiliki wa kampuni tulizozipa leseni ya haki madini bila kulipa hata senti moja. Hata hivyo utekelezaji wa kifungu hiki ulikuwa mgumu kwa vile tayari mikataba mikubwa ilikuwa imeshasainiwa hivyo ilikuwa inasuburiwa atokee mtu tunanze kutumia sheria hiyo.

Hata hivyo sheria tulizo zipitisha 2017 na songombigo iliyofanyika imefanya utaratubu huo utumike hata kwa wale waliokuwa wasiguswe kama Acacia. Kwa maana nyingine makubaliano ya Barrick na Tanzania yanatumia sheria ya 2010.

Baada ya kusema hayo, nijielekeze sasa kwenye umaana wa 16% na 84%. Nitafanya hivyo kwa kutumia utafiti niliouweka kama kiambatanisho. Lakini na wanukuru kidogo wasomi hawa

Summary of the forms of the government equity role in the minerals sector

There are four main types of government equity role, namely:-

  1. Paid or full equity- Paid equity is the equity capital financing or buying of shares in enterprises by government, as a private investor would do (Heller, 2011; Natural Resource Governance Institute, 2015; Cottarelli, 2012);
  2. Carried equity- when the private sector investor meets all capital costs and expenses in an investment without any financial contribution from government (Natural Resource Governance Institute, 2015; Cottarelli, 2012; McPherson, 2008). However, according to Heller (2011) and McPherson (2008), the recovery of an investor's money spent as government contribution in an investment would be through government-foregone dividends with interest;
  3. Free equity-, Free equity is when the company grants a portion of its shares to the government at no cost (Heller, 2011; Cottarelli, 2012);and
  4. Free-carry equity- has the features of both free and carried equity (Kaba, 2017). It is when a percentage of mining company's shares is offered to the government by the company, and the company also carries the costs and expenses for the government. According to Kaba (2017), the government may contribute in kind by granting the mining licence and/or mining rights.

Although the Mining Act, 2010 defines free-carry equity in terms of the free-carried interest (FCI), this equity role approach is not yet practiced in Tanzania. In 2014, TZGT planned to execute free-carry equity in the Nachu graphite project (NGRP) and Mkuju River uranium project (MRUP). Negotiations for free-carried interest (FCI) for each project were conducted between the TZGT and project owners from 2014, but were concluded unsuccessfully in 2015 as the parties could not reach consensus on FCIs. This consequently impeded the signing of MDAs, which also limited execution of the free-carry equity role by the government. However, the government is negotiating with various stakeholders to implement free-carry equity. Table III summarizes the results for forms of government equity role in prospecting and medium- and large-scale mining. Most of the prospecting licence agreements were concluded under carried and paid equity types, comprising 56 and 41 PLs respectively. These agreements may lead to meaningful government participation in the mining industry since the government has paid in one way or another for the shares held in an entity. This participation will allow government to promote the mining industry as an invested party.

Kwa maelezo ya watu hawa sisi tunatumia namna ya namba 4. Tumepewa hisa na wawekezaji na wao watagharamika kwa kila kitu katika uendeshaji wa mgodi na mwisho wa siku tunapata 16% ya faida kama itapatikana pamoja na kodi na tozo zingine. Kwa upande wetu tunawapa uhalali na uhakika wa kufanya kazi zao bila bughuza.
 
Attachments

  • USHIRIKI WA TAIFA KATIKA RASLIMALI MADINI.pdf
    543.5 KB · Views: 2
Cha msingi ni kufuata sheria na taratibu kwa pande zote. Tanzania inahitaji wawekezaji sana tu.
 
Cha msingi ni kufuata sheria na taratibu kwa pande zote. Tanzania inahitaji wawekezaji sana tu.
Tanzania tutanufaika sana kwani licha ya kupata gawio ls hisa 16% pia corporate taxi 30% kutokana na faida ya kampuni nal pia kodi zingine kama. VAT. PAYE nk. Hivyo mwisho wa siku tutapata zaidi ys 50%.. Serikali ya JPM imefanya kazi kubwa na nzuri kabisa kurekebisha mapungufu ya mikataba mibovu ya nyuma.
 
hivi hizo economic benefit ambazo tunapata 50% ndio zipi hasa
Laki Si Pesa, kwa mujibu wa maelewano hizo economic benefits ni hizi hapa chini

The Framework Agreement sets out the key principle that going forward, the GoT
and the Acacia Group will share (on an aggregate basis) the economic benefits
derived from the Tanzanian mines on a 50/50 basis (the “50/50 Principle”). The
50/50 Principle is based on the life of mine plans and reflects certain specified fiscal
assumptions and measures. The GoT will receive its share of economic benefits
through the payment by the TMCs of

  1. taxes,
  2. royalties,
  3. fees and other fiscal levies (namely corporate income tax, withholding tax, royalties, clearing fee, fuel/petrollevies, road tolls, local GoT levies, import duties, skills development levy and other similar fiscal levies, if any) and
  4. through the GoT’s 16% free carried interest in each of the TMCs and New OpCo and the GoT’s 16% interest in shareholder loans (excluding shareholder loans made for the purpose of new investment into the mines or operations of the TMCs, amounts received or offset as a result of any entitlement to a credit under the annual true-up mechanism described further at paragraphs A3
 
Tanzania tutanufaika sana kwani licha ya kupata gawio ls hisa 16% pia corporate taxi 30% kutokana na faida ya kampuni nal pia kodi zingine kama. VAT. PAYE nk. Hivyo mwisho wa siku tutapata zaidi ys 50%.. Serikali ya JPM imefanya kazi kubwa na nzuri kabisa kurekebisha mapungufu ya mikataba mibovu ya nyuma.
RMC, acha mahaba- tuzungumze ukweli hata wa nyuma walifanya waliloweza
 
Tanzania tutanufaika sana kwani licha ya kupata gawio ls hisa 16% pia corporate taxi 30% kutokana na faida ya kampuni nal pia kodi zingine kama. VAT. PAYE nk. Hivyo mwisho wa siku tutapata zaidi ys 50%.. Serikali ya JPM imefanya kazi kubwa na nzuri kabisa kurekebisha mapungufu ya mikataba mibovu ya nyuma.
16% aliweka jakaya
 
Kwa hili JPM na serikali yake wanastahili kupongezwa. Hawakuogopa maana kuna watu walikuwa wanaimba yatakayotokea baada ya kuwavimbia Acacia. Wameangukia pua
 
Serikali yetu awamu hii ya tano imevurugana na wawekezajI katika sekta ya madini katika jitihada za kuhakikisha Tanzania kama taifa tunapata haki yetu kwa muktadha wa WIN-WIN. Lakini kwa taarifa tunazopata baada ya yote hayo ni sisi 16% na wao 84%. Kwa macho hapa WIN-WIN ni kama haipo.

Kwa maelezo ya watu hawa sisi tunatumia namna ya namba 4. Tumepewa hisa na wawekezaji na wao watagharamika kwa kila kitu katika uendeshaji wa mgodi na mwisho wa siku tunapata 16% ya faida kama itapatikana pamoja na kodi na tozo zingine. Kwa upande wetu tunawapa uhalali na uhakika wa kufanya kazi zao bila bughuza.

Mkuu mbona unapotosha. Hisa ya 16% na faida ni vitu viwili tofauti.
 
Tatizo bawata sema baada ya kubadilisha sheria na mikataba tumepata kiasi gani
.

Tanzania ni nchi i ayopenda gizagiza
 
Aliye anzisha mchakato ji JK. JK alikuwa anataka taasisi ziimarike na zifanye kazi.
Kwa hili JPM na serikali yake wanastahili kupongezwa. Hawakuogopa maana kuna watu walikuwa wanaimba yatakayotokea baada ya kuwavimbia Acacia. Wameangukia pua
 
Aliye anzisha mchakato ji JK. JK alikuwa anataka taasisi ziimarike na zifanye kazi.

JK tena🤣🤣🤣🤣🤣? Mbona zinatumika nguvu nyingi kumtetea?
Ukweli na uongo kamwe havitakaa pamoja. JK hakuzuia container bandarini. JK hakuikana Acacia. JK hakulazimisha wawekezaji wafuate sheria mpya ya madini.
Kwanini tusimuache Mzee JK apumzike kwa raha mustarehe? Ana nafasi yake kubwa ndani ya nchi. Ila ukweli ni kuwa kwa sasa anaitwa Rais Mstaafu
 
Tanzania tutanufaika sana kwani licha ya kupata gawio ls hisa 16% pia corporate taxi 30% kutokana na faida ya kampuni nal pia kodi zingine kama. VAT. PAYE nk. Hivyo mwisho wa siku tutapata zaidi ys 50%.. Serikali ya JPM imefanya kazi kubwa na nzuri kabisa kurekebisha mapungufu ya mikataba mibovu ya nyuma.
Good,well said.
 
Back
Top Bottom