Ushiriki wa Tanzania katika umiliki wa rasilimali madini: Barrick 84% na Tanzania 16% maana yake nini?

Mimi sijaingiza watu nimeuliza swala la msingi ambalo hujatoa jibu, kama kulikuwa na 16% shares zilizokuwa zinamilikiwa na Serikali ya Tanzania nani alikuwa anachukua dividend? kama hufahamu sema maana tunaweza kuzipata kutoka FTSE. Tunaweza hata kupata viwango vyake lakini itachukua muda.
UNGESOMA TOKA MWANZO USINGEULIZA SWALI HILO- SASA SOMA HAPA UTAPATA MAJIBU
Although the Mining Act, 2010 defines free-carry equity in terms of the free-carried interest (FCI), this equity role approach is not yet practiced in Tanzania. In 2014, TZGT planned to execute free-carry equity in the Nachu graphite project (NGRP) and Mkuju River uranium project (MRUP). Negotiations for free-carried interest (FCI) for each project were conducted between the TZGT and project owners from 2014, but were concluded unsuccessfully in 2015 as the parties could not reach consensus on FCIs. This consequently impeded the signing of MDAs, which also limited execution of the free-carry equity role by the government. However, the government is negotiating with various stakeholders to implement free-carry equity. Table III summarizes the results for forms of government equity role in prospecting and medium- and large-scale mining. Most of the prospecting licence agreements were concluded under carried and paid equity types, comprising 56 and 41 PLs respectively. These agreements may lead to meaningful government participation in the mining industry since the government has paid in one way or another for the shares held in an entity. This participation will allow government to promote the mining industry as an invested party.
 
That does not answer the fundamental question I asked. You must provide us with the person/Government department who/which was collecting dividends of 16% yearly from the FTSE since 2010. Otherwise continue with your crazy attitude to preach things which you do not know.
 
OLE, dividend payment depends on number of conditions and am sure none of the mining business in Tanzania has ever qualified to pay dividend.
 
Dividends do not depend on conditions but depends on profitability, if there are losses you do not get any dividend for that year. FYI just familiarize yourself with DSE before even considering the world leaders in shares ie NSE or FTSE. I am sorry you do not know what you are talking about.
 
Ole- do not try to mislead people that whenever the firm makes profit dividends are paid.
Note i said payment of dividends depends on number of conditions NOTE number of conditions.
 
Serikali yetu awamu hii ya tano imevurugana na wawekezajI katika sekta ya madini katika jitihada za kuhakikisha Tanzania kama taifa tunapata haki yetu kwa muktadha wa WIN-WIN. Lakini kwa taarifa tunazopata baada ya yote hayo ni sisi 16% na wao 84%. Kwa macho hapa WIN-WIN ni kama haipo.

Kwa bahati mbaya hakujafanyika jitihada za kuelimishana ukweli na uhalisia wa huo mgawanyo zaidi ya kuzomeana na kuambiana maneno yasiyo na staha.

Mwaka 2010 Bunge letu lilipitisha sheria ya madini ya 2010 sheria na 4. ambayo kifungu chake cha 10 kilikuwa kinamulekeza waziri kuwaambia wawekezaji kuwa tunazo 16% za umiliki wa kampuni tulizozipa leseni ya haki madini bila kulipa hata senti moja. Hata hivyo utekelezaji wa kifungu hiki ulikuwa mgumu kwa vile tayari mikataba mikubwa ilikuwa imeshasainiwa hivyo ilikuwa inasuburiwa atokee mtu tunanze kutumia sheria hiyo.

Hata hivyo sheria tulizo zipitisha 2017 na songombigo iliyofanyika imefanya utaratubu huo utumike hata kwa wale waliokuwa wasiguswe kama Acacia. Kwa maana nyingine makubaliano ya Barrick na Tanzania yanatumia sheria ya 2010.

Baada ya kusema hayo, nijielekeze sasa kwenye umaana wa 16% na 84%. Nitafanya hivyo kwa kutumia utafiti niliouweka kama kiambatanisho. Lakini na wanukuru kidogo wasomi hawa

Summary of the forms of the government equity role in the minerals sector

There are four main types of government equity role, namely:-

  1. Paid or full equity- Paid equity is the equity capital financing or buying of shares in enterprises by government, as a private investor would do (Heller, 2011; Natural Resource Governance Institute, 2015; Cottarelli, 2012);
  2. Carried equity- when the private sector investor meets all capital costs and expenses in an investment without any financial contribution from government (Natural Resource Governance Institute, 2015; Cottarelli, 2012; McPherson, 2008). However, according to Heller (2011) and McPherson (2008), the recovery of an investor's money spent as government contribution in an investment would be through government-foregone dividends with interest;
  3. Free equity-, Free equity is when the company grants a portion of its shares to the government at no cost (Heller, 2011; Cottarelli, 2012);and
  4. Free-carry equity- has the features of both free and carried equity (Kaba, 2017). It is when a percentage of mining company's shares is offered to the government by the company, and the company also carries the costs and expenses for the government. According to Kaba (2017), the government may contribute in kind by granting the mining licence and/or mining rights.

Although the Mining Act, 2010 defines free-carry equity in terms of the free-carried interest (FCI), this equity role approach is not yet practiced in Tanzania. In 2014, TZGT planned to execute free-carry equity in the Nachu graphite project (NGRP) and Mkuju River uranium project (MRUP). Negotiations for free-carried interest (FCI) for each project were conducted between the TZGT and project owners from 2014, but were concluded unsuccessfully in 2015 as the parties could not reach consensus on FCIs. This consequently impeded the signing of MDAs, which also limited execution of the free-carry equity role by the government. However, the government is negotiating with various stakeholders to implement free-carry equity. Table III summarizes the results for forms of government equity role in prospecting and medium- and large-scale mining. Most of the prospecting licence agreements were concluded under carried and paid equity types, comprising 56 and 41 PLs respectively. These agreements may lead to meaningful government participation in the mining industry since the government has paid in one way or another for the shares held in an entity. This participation will allow government to promote the mining industry as an invested party.

Kwa maelezo ya watu hawa sisi tunatumia namna ya namba 4. Tumepewa hisa na wawekezaji na wao watagharamika kwa kila kitu katika uendeshaji wa mgodi na mwisho wa siku tunapata 16% ya faida kama itapatikana pamoja na kodi na tozo zingine. Kwa upande wetu tunawapa uhalali na uhakika wa kufanya kazi zao bila bughuza.
[/QUOMalizia nkabisa faida tunagawana 50/50

Tena week bayana kuwa umiriki wetu ni 16% na kuwa lazima mzawa nae awe sehemu ya biashara
 
Ole- do not try to mislead people that whenever the firm makes profit dividends are paid.
Note i said payment of dividends depends on number of conditions NOTE number of conditions.

Do you own any shares? If you own any shares in any stock exchange then we can discuss. If you don't then there is no point.
 
Ole, i own nothing but my intellect- i know you did had intellect but you exchanged with shares. A man with intellect is better than the man with shares.
 
Mkuu kampuni binafsi unaweza kuwa na shares na hawalipi dividends. Acacia ilikuwa public company kila mwaka walikuwa wanalipa dividends, unaweza kupata information zote kutoka LSE. Ndio sababu hata kufutwa kwao ilikuwa ni lazima LSE waridhie ni pesa za shareholders ambao wanawekeza kutokana na kutambulika kimataifa kuwa sio kampuni ya kitapeli. Hesabu zote za kampuni zinakaguliwa kutokana na utaratibu unaokubalika wa ukaguzi nk. Ndio sababu nikakuuliza maswali ambayo hukuwa na majibu. Watu wananunua shares kupata faida sio hasara. Acacia walikuwa wanapata faida tangu waanze biashara yao Tanzania na ushahidi upo.
 
OLE, MDA ya Tanzania na BARRICK/ AFRICAN BARRICK/ACACIA ilisainiwa lini na inasemaje?
 
Hiyo sio issue kwa sababu Acacia walikuwa public company ambayo shares zake zilikuwa traded openly, haijalishi. ndio sababu nikauliza nani alikuwa anachukua dividends za Tanzania kwenye ile 16% uliyosema. J3 au J4 nitakuwekea faida yote ambayo Acacia walikomba, na nita-calculate 16% ni kiasi gani kama muda ukiruhusu nitakwambia nani alikuwa anachukua kwa sababu LSE wanatoa info zote bila kuficha. (Usije ukaninyonga bure maana inategemea na majukumu yangu binafsi vile vile).
 
OLE, you are out of context- it has been documented that MDA was signed before the 16% free carried interest clause was enacted (2010) thus legally you could not ask ACACIA to pay dividends to GOT.
As per new agreement conditions will not make Barrick pay GOT the dividends.
 
So what is it, 6% interest or 16% shares? I have not spoken about 16% interest throughout. When you have shares you acquire dividends yearly according to the performance of the company. In such a public company when you have shares each year you get dividends. Maybe you do not know the meaning of dividends.
 
Mkuu kampuni binafsi unaweza kuwa na shares na hawalipi dividends. Acacia ilikuwa public company kila mwaka walikuwa wanalipa dividends, unaweza kupata information zote kutoka LSE. Ndio sababu hata kufutwa kwao ilikuwa ni lazima LSE waridhie ni pesa za shareholders ambao wanawekeza kutokana na kutambulika kimataifa kuwa sio kampuni ya kitapeli. Hesabu zote za kampuni zinakaguliwa kutokana na utaratibu unaokubalika wa ukaguzi nk. Ndio sababu nikakuuliza maswali ambayo hukuwa na majibu. Watu wananunua shares kupata faida sio hasara. Acacia walikuwa wanapata faida tangu waanze biashara yao Tanzania na ushahidi upo.
PLC Companies which are listed in Stock Markets are entitled to pay dividends to their share holders upon realizing profits.

But the companies which are limited by shares which by law are not eligible for listing at Stock Markets do not pay dividends to their members and the same applies to limited liability partnership companies.
I hope that can suffice.
 
Mkuu usidandie treni kwa mbele, soma tangu mwanzo kabla ya kuingilia kitu ambacho hufahamu.
 
OLE, yaani wewe ndo uko nje ya mada kabisa. Kwenye sheria ya madini ya 2010 kinachoongelewa ni FREE CARRIED INTEREST. Kwenye makubaliano mapya pia ni hicho hicho.
Watu wengi humu wanasema 16 free carried out iko toka 2010 wewe hutaki kukubali sas sijui tatizo lako ni lipi?
 
Laki Si Pesa, kwa mujibu wa maelewano hizo economic benefits ni hizi hapa chini

The Framework Agreement sets out the key principle that going forward, the GoT
and the Acacia Group will share (on an aggregate basis) the economic benefits
derived from the Tanzanian mines on a 50/50 basis (the “50/50 Principle”). The
50/50 Principle is based on the life of mine plans and reflects certain specified fiscal
assumptions and measures. The GoT will receive its share of economic benefits
through the payment by the TMCs of

  1. taxes,
  2. royalties,
  3. fees and other fiscal levies (namely corporate income tax, withholding tax, royalties, clearing fee, fuel/petrollevies, road tolls, local GoT levies, import duties, skills development levy and other similar fiscal levies, if any) and
  4. through the GoT’s 16% free carried interest in each of the TMCs and New OpCo and the GoT’s 16% interest in shareholder loans (excluding shareholder loans made for the purpose of new investment into the mines or operations of the TMCs, amounts received or offset as a result of any entitlement to a credit under the annual true-up mechanism described further at paragraphs A3

Katika kuingia hii mikataba ya Madini ni lazima tuwe makini sana, hawa wenzetu ni wajanja na wana uzoefu. Hapo wanaposema ECONOMIC BENEFITS na kuorodhesha among other things TAXES na ROYALTIES hizi ni costs to the whole corporation ambazo ni lazima zilipwe kwa serikali irrespective of whether Serikali ina interest or not!! Contribution ya serikali kwenye haya machimbo ni ARDHI YENYE MADINI na wao wawekezaji contribution yao ni CAPITAL!! It is on this basis that the shareholding structure should be decided .

Hizo mnazoita economic benefits to the country ni COSTS ambazo zinatakiwa kulipwa kwa chi na wanahisa wote!!!
 
Hapa mimi ndiyo huwa nachoka kabisa. Madini yetu lakini amekuja Mr Brown anata madini yetu tunampa 84% na sisi tunabakia na 16%. Aliyetuloga atakuwa amekufa kabisa wala hatafufuka tena
 
Back
Top Bottom