Hiyo 2020 atatangazwa mshindi bila kujali box la kura litasema vipi kwani haheshimu box la kura. Huwezi kusema Magufuli anapendwa kwani hayuko tayari kuruhusu vipimo vya kupima upendo vitamalaki. Sehemu kubwa anaoongoza kwa kujenga hofu na iwapo utaonyesha kutompenda utajikuta kwenye hujuma za wazi.
Ila ukweli ninao ufahamu, wapiga kura watakuwa ni wacheche kupata kutokea. Idadi itakayoacha kupiga kura itakuwa ni jibu tosha ya jinsi gani anakubalika. Huenda unaamini kwamba anapendwa kwa sababu hakuna habari tofauti na za kwake, na hayuko tayari kuona wenzake wakiungwa mkono. Hivyo ushindi wake wa 2020 utakuwepo lakini sio kwa ridhaa ya walio wengi.