Ushindi wa Rais Magufuli 2020

Magufuli atapata Asilimia ngapi?

  • 50%

  • 60%

  • 70%

  • 80%

  • 91.5%

  • 100%

  • 41.788%

Results are only viewable after voting.
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
93,024
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
93,024 2,000
Wizi wa kura wa nduli wa Ikulu. Usifananishe huyu mwizi dikteta fisadi muuaji na UZALENDO.

Amani ya Bwana iwe nanyi.

Niende moja kwa moja katika mada, nimetafakali sana mstakabali wa siasa za nchi hii hususani kinyanganyiro 2020 ni dhahiri wazi kabisa Watanzania wengi hawana mbadala pamoja na kelele zilizopo. Kwa sasa hakuna mpinzani wa Magufuli na 2020 kwa hali ilivyo kuna uwezekano Magufuli akapata ushindi wa kihistoria wa asilimia 91.5%.(MTAZAMO WANGU)

Niambie kwa mtazamo wako unadhani kwa uzalendo alionao Magufuli na upendo walionao watanzania kwa Magufuli atapata asilimia ngapi?
Tililika hapa
 
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
19,799
Points
2,000
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
19,799 2,000
Hiyo 2020 atatangazwa mshindi bila kujali box la kura litasema vipi kwani haheshimu box la kura. Huwezi kusema Magufuli anapendwa kwani hayuko tayari kuruhusu vipimo vya kupima upendo vitamalaki. Sehemu kubwa anaoongoza kwa kujenga hofu na iwapo utaonyesha kutompenda utajikuta kwenye hujuma za wazi.

Ila ukweli ninao ufahamu, wapiga kura watakuwa ni wacheche kupata kutokea. Idadi itakayoacha kupiga kura itakuwa ni jibu tosha ya jinsi gani anakubalika. Huenda unaamini kwamba anapendwa kwa sababu hakuna habari tofauti na za kwake, na hayuko tayari kuona wenzake wakiungwa mkono. Hivyo ushindi wake wa 2020 utakuwepo lakini sio kwa ridhaa ya walio wengi.
 
K

Kang kin

Member
Joined
Mar 21, 2017
Messages
62
Points
125
K

Kang kin

Member
Joined Mar 21, 2017
62 125
Hiyo 2020 atatangazwa mshindi bila kujali box la kura litasema vipi kwani haheshimu box la kura. Huwezi kusema Magufuli anapendwa kwani hayuko tayari kuruhusu vipimo vya kupima upendo vitamalaki. Sehemu kubwa anaoongoza kwa kujenga hofu na iwapo utaonyesha kutompenda utajikuta kwenye hujuma za wazi.

Ila ukweli ninao ufahamu, wapiga kura watakuwa ni wacheche kupata kutokea. Idadi itakayoacha kupiga kura itakuwa ni jibu tosha ya jinsi gani anakubalika. Huenda unaamini kwamba anapendwa kwa sababu hakuna habari tofauti na za kwake, na hayuko tayari kuona wenzake wakiungwa mkono. Hivyo ushindi wake wa 2020 utakuwepo lakini sio kwa ridhaa ya walio wengi.
Asilimia kubwa wanampenda sana kwako wewe unayepiga porojo huku na wenzako mnaweza kujiona mpo wengi sana kumbuka kuna wapiga kura halisi ambao hawajui mtandao nini na wapo wengi sana wenye upendo kwake
 
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
19,799
Points
2,000
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
19,799 2,000
Asilimia kubwa wanampenda sana kwako wewe unayepiga porojo huku na wenzako mnaweza kujiona mpo wengi sana kumbuka kuna wapiga kura halisi ambao hawajui mtandao nini na wapo wengi sana wenye upendo kwake
Unadhani tunaongea haya tukiwa nje ya nchi? Uhalisia tunaujua, ukitaka kujua mtu anapendwa utaona anaheshimu box la kura na watu watakuwa na hamasa ya kushiriki uchaguzi. Hayo yote hayapo, hivyo wengi watakaojitokeza kupiga kura ni wale wanaomkubali. Kwahiyo atapata asilimia kubwa ya kura lakini wapiga kura wachache. Kujengea watu hofu na kuwatawala kwa mabavu hakukupi nafasi ya kupendwa, bali watu kuigiza wanakupenda.

Ni kama umfuate mwanamke kibabe huku ukimpa mahitaji yake kadhaa, ataigiza kukupenda kwakuwa anakuogopa, lakini kiuhalisia hakupendi na akitokea yule anampenda ataenda bila kuhitaji chochote kwake.
 
kanyela mumo

kanyela mumo

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Messages
1,875
Points
2,000
kanyela mumo

kanyela mumo

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2016
1,875 2,000
Atashinda kuanzia asilimia 90 kwenda juu, Mapema tu anaenda kuchukua kura yangu.
 
K

konyola

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Messages
1,345
Points
2,000
K

konyola

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2016
1,345 2,000
Kama jiwe atagombea akipata 4.5% ya kura halali akanywe supu ya fisi
 
Forum statistics

Threads 1,307,076
Members 502,332
Posts 31,600,955
Top