Head teacher
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,796
- 413
Baada ya ushindi wa awamu ya pili, ni wazi sasa rais mteule Obama, atakuwa huru kushughulikia mgogoro wa siraha za nyuklia na siasa hasimu za Iran dhidi ya Israel na mataifa ya magharibi. Obama ambaye amefanikiwa katika vita yake ya kuteketeza magaidi duniani baada ya kumsambaratisha muasisi na mfadhili wa al qaeda, marehemu Osama, sasa baada ya uchaguzi huu bila shaka ataingia kwa miguu yote Syria na hatimaye Irani. Itakumbukwa Obama aliizuia Israel kuivamia kijeshi Iran kwani uvamizi huo kwa vyovyote ungehusishwa na Obama na kupelekea kuangushwa katika uchaguzi mkuu wa urais U.S.A.
Huu ni muda wa kuifuta Iran katika ramani ya dunia, kwani adui muwahi.
Huu ni muda wa kuifuta Iran katika ramani ya dunia, kwani adui muwahi.