Hii ss ndio itakuwa fundishoo...we unategemea kushinda kwa kura za kinyumbu nyumbu tu badala ya kuja na mikakati....binafsi nilikuwa nataka huyu aliyeshinda ndio ashinde cz vitu alivyovifanya vinaonekana....Shek Suleiman alikuwa anakuja kutupa samaki wakat ss shida yetu hasa ni kujua jins ya kuvua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.