Ushindi wa CHADEMA Ukonga waleta neema


Kamanda Molemo na wengine, nichukue nafasi hii kumpongeza Waitara kwa kazi njema anayowafanyia watu wa Kivule. Lakini mbona yeye ameweza na huku hana hela; amepiga ambush manispaa na wametekeleza ukarabati. Sasa huku kwetu Jimbo la Ubungo mbona tukisema watu wanasema sasa Mnyika atatoa pesa mfukoni kufanya ukarabati wa barabara! Mnyika afanye kama alivyofanya Waitara huko Kivule.
 
Last edited by a moderator:
Kama anaweza kufanya hayo akiwa Mwenyekiti wa Mtaa

Kwanini basi October 2015 asichukue kabisa Jimbo nzima la Ukonga kama Mbunge! Ni mawazo yangu tu.
 
Big up hali hiyo ni sawa n huku kwetu tabata kimanga mtaa wa tembomgwaza chadema weshafanta yao huku wametengeneza barabara vzuriiii
 
hongera kamanda ukonga bila magamba inawezekana !
 

Nimekuona kamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…