Ushindi wa CHADEMA Ukonga waleta neema

Ukibisha unabishia mazoea...ukweli CHADEMA kiboko yao hadi wakae 2015 hatufanyi makosa
 
trust me. Ni yeye.

Okay, may be ni sawa, lakini bado sioni tatizo mkuu Sangarara, muhimu anafanya anachoona anaweza kufanya kwa muda husika. Kwa sasa yupo kamili gado akiwahudumia wananchi wake kupata huduma na haki ya msingi kutoka kwa serikali yao
 
Last edited by a moderator:
Okay, may be ni sawa, lakini bado sioni tatizo mkuu Sangarara, muhimu anafanya anachoona anaweza kufanya kwa muda husika. Kwa sasa yupo kamili gado akiwahudumia wananchi wake kupata huduma na haki ya msingi kutoka kwa serikali yao

Hata mi sina naye shida, na ninamkubali ila huwa sipendi kusahau mambo ya nyuma.
 
yupo binti anaitwa Sophia makamba anafit Ku replace Udiwani kivule
 
Hongera Waitara. ushindi wa CHADEMA maeneo mbalimbali nifursa kwa watanzania kuona tofauti wa uongozi wa CHADEMA na ccm

Kila mtu sasa anaona faida ya kuchagua Chadema!
 
mbunge WA UKONGA CHACHA MWIKABE WAITARA
 
Waache hao maCCM yaendelee kuwekeana kiporo hadi kitakapochacha ndio watajua kuwa kiporo hakiliki tena baada ya kuchacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…