Ushindi wa chadema si wa bahati mbaya...

Ushindi wa chadema si wa bahati mbaya...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Ushindi wa CHADEMA pale Arumeru umekuwa gumzo.Waonekana kama goli la kujifunga.Si hivyo.Ni ushindi wa sera dhidi ya hela.Ni ushindi wa ukombozi dhidi ya ujambazi na matanuzi.Hakuna sababu kuu zaidi ya kizazi cha Tanzania kuhitaji mabadiliko.Muda ndio huu.Yatasemwa mengi sana;CHADEMA inachaguliwa na watanzania wenyewe..
 
Ni ushindi wa nuru na matumaini dhidi ya giza na ushirikina,uchu wa madaraka na ukuu,uroho wa wachumia tumbo na mirija yao migongoni mwa wavujajasho.Ni ushindi uliodhihirisha mwanzo dhahiri wa kukata mirija ya kinyonyaji.
 
Back
Top Bottom