Ushindi ni kujishinda

Ushindi wa nini, umshinde nani, kwa mashindano yapi?

Weka malengo yako, pambana kuyafikia, watu wapo tu, unawatumia kufikia malengo yako.

Capitalist tunasema, hatuna permanent friends or enemies, but objectives/interests

SIKUFUNDISHI TENA
 
Ushindi wa nini, umshinde nani, kwa mashindano yapi?

Weka malengo yako, pambana kuyafikia, watu wapo tu, unawatumia kufikia malengo yako.

Capitalist tunasema, hatuna permanent friends or enemies, but objectives/interests

SIKUFUNDISHI TENA
Are you aware that you are a product of your environment!

How can you win without truly owning who you are? Hata hayo malengo yatakuja wti glitches

Ushauri mzuri sawa ila we need to be aligned first..

I never meant about other people or friends
 
Hivi kaka kwanini watu wengi mtaani wanakazia kutafuta pesa tu lakini maarifa hawayatafuti? Unakuta mtu kutwa biashara lakini kusomea mambo ya pesa na uchumi hakuna
Elimu na vitabu vya wakina Robert Kiyosaki ni mafundisho ambayo yamefanyiwa rejea kwenye mifumo ya uko ulaya na amerika. Yaliyoandikwa na yanayofundishwa humo mengi hayapo relevant na mazingira yetu afrika.

Ulaya ukiwa na maarifa ukaweka juhudi kidogo tu unatoboa. Huku kwetu ambapo mifumo ipo shaghalabaghala, maarifa na juhudi pekee haitoshi. Kuna rushwa, connection, fitna, uchawa, undugu, ushirikina n.k. Kwahiyo kila siku lazima ubuni kanuni mpya. Hauwezi kuganda tu hapo hapo kwenye elimu ya kusoma darasani au vitabuni
 
Napinga hoja
. Wamatumbi ni wazembe tuu

Wengi hawana consistency na uvumilivuu

Uchawi ni sisi wenyewe
 
Napinga hoja
. Wamatumbi ni wazembe tuu

Wengi hawana consistency na uvumilivuu

Uchawi ni sisi wenyewe
Hapana mkuu. Ukizama kwa undani utaelewa. Mimi nimesoma economic and finance. Naona gap kubwa sana kati ya yanayofundishwa vitabuni na yanayoendelea mtaani.

Robert Kiyosaki atakwambia acha kazi ukiwa bado kijana chukua pension yako ufanye mtaji wa biashara. Ulaya na marekani hiyo inawezekana. Lakini ukifanya hapa bongo utakutana na mambo ya kikokotoo. Unapewa hela kidogo kdogo, mara sijui ufikishe umri fulani.

Unaweza kuona hapo mazingira yetu hayapo relevant na hizo elimu za darasani na vitabu vya wakina warren buffet
 
Yes, ila hakuzuii kutumia njia mbadala

Yes, najua kwa nchi zetu kuna changamoto ila we need to do whatever it takes..

Unaweza hata ku switch carieer
 
Yes, ila hakuzuii kutumia njia mbadala

Yes, najua kwa nchi zetu kuna changamoto ila we need to do whatever it takes..

Unaweza hata ku switch carieer
Yes, ndio maana nikamwambia jamaa ni suala ambalo linahitaji kubadilisha kanuni kila siku. Ukiganda kwenye elimu ya kufundishwa vitabuni utafeli. Elimu ya darasani inaweza kuwa applicable kwenye ngazi za juu mfano ukiajiriwa benki au serikalini lakini huku chini unahitajika kuwa flexible ili utoboe. Kwahiyo kimtaa mtaa elimu nzuri zaidi ni ku-observe yanayoendelea mtaani kuliko kusoma vitabu
 
Mkuu Kuna madini sana kwenye vitabu, huwezi toka kapa. Na pia applicationsl yake sio kwenye field husika tu ni maisha kwa ujumla
 
Hii pia inahusika kwa viongozi wetu kwenye mambo mbalimbali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…