Ushemeji jamani umenichosha

Ukisha malizana nao nini kinafatia? au nini unapata? kwanza ukiwa kama mwanamme jipende sio unamvulia nguo kila anaekuja kisa kakugusa na makalio hata angekugusa na Uke wake ebu jipe thamani ya mwili wako,kuna watu wengine hua sio hadhi yako na ukiwa kama mwanamme unatakiwa ulijue hilo,bila kusahau wangekua na thamani wala wasinge jilengesha kwako.
 
Wanachangamkia fusa maana wanaona nilivyokua na mcare rafiki yao lakini analinga kupita kiasi, Leo nimekutana na rafiki yake anashoboka kinoma kila nikimwambia nataka hiki analeta japo in vitu vidogo vidogo, imebaki kula mzigo nasita jamani nisijeumbuka
 
Mkule tuu huyo shemejiyo
Nikila najua taarifa zitasambaa maana tu livyomtokea shemeji yao kesho yake kila MTU anajua mpaka rafiki zangu wakati nilikua sijamwambia MTU yoyote zaidi ya babie wangu ndo alikua anajua kwasababu nilimtokea yeye
 
Mamaeeee! Yani anakimbilia kwenye zipu, aisee unasubiri nini kumcharanga?
 
Mamaeeee! Yani anakimbilia kwenye zipu, aisee unasubiri nini kumcharanga?
Huyo demu alishawai kutangaza na mausiano nae kila MTU anaamini hivyo mpaka babies wangu alikua anaamini hivyo kabla sijawa na mausiano nae. Naisi ataniganda mpaka nitashindwa kufurukuta na atatunisha misuri mbele ya babies wangu, sitaki kuwagombanisha nimechanganyikiwa nipite na yupi au wote
 
Huoni raha wewe mwanamke akikusumbua kuliko wale wanaojileta wenyewe? mwenyezi mungu ameniumba mwanamke ila ningekua mwanamme hao wanaojileta kama kumbikumbi mbona wangeula na chuya.
 
Huoni raha wewe mwanamke akikusumbua kuliko wale wanaojileta wenyewe? mwenyezi mungu ameniumba mwanamke ila ningekua mwanamme hao wanaojileta kama kumbikumbi mbona wangeula na chuya.
kweli kabisa mkuu niraha sana mwanamke kumuhangaisha mwanaume ina taste fulani hivi amaizinnnggg.. sio kujipeleka peleka mwenyewe hata hainogi kiviiiiiiiileee



cc Smart911
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…