Ushemeji jamani umenichosha

Changes boy

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Posts
552
Reaction score
363
Nilitokea demu mmoja ana rafiki wengi wazuri, cha kushangaza demu mwenyewe ananiwekea mapozi sasa kasafiri huko mikoani rafiki zake wananishobokea sana wananitega hivi nikitoka na wote kimya kimya nikala mizigo **** tatizo. **** mmoja rafiki yake ananitega mpaka nimeshindwa kuvumilia ananigusa na makalio yake makubwa afu mabichi kichokozi anaangalia zipu yangu kila nikikutana naye.
 
uvumilivu ukikushinda we mchape nao ila kumbuka ni akuna siri lazima huyo manzi ako atagundua tuu
 
Walete hao mashemeji zako nikemee hayo mapepo waliyonayo
 
Mwanaume mpumbavu ni yule anaswae na makaliyo ya mwanamke ambayo haya msaidi chochote zaidi ya kuyatizama tu!
 
Kwan ile nafasi ya jkt ulikosa?
 
Kama unampenda huyo dem usifanye hivo utajutaaaaa
Mimi dada ake na dem wngu alikua ananitega mara anilalie,nikiomb kiss ya mdomoni napewa
Si nikaomba mzigo,akaanza ooh wewe mdogo k yangu ishapanuka
Siku ya siku akataka kumuonesha mdgo wake chat zetu
 
Tatizo anaringa ajui kujari na kuwa kwenye mausiano, anajiona sana. Uvumilivu unaelekea kunishinda wacha awe past manaake ni Pasua kichwa kila siku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…