Ushawishi katika kutongoza

Ushawishi katika kutongoza

Kigorohe

Senior Member
Joined
May 21, 2019
Posts
160
Reaction score
255
Mpaka Sasa nina takribani miaka 25. Nikivuta kumbukumbu zangu nimelala wamawake 6 tu. Kwakweli najiona kama sina bahati katika mapenzi, kwa sababu wanawake hawa Ni wachache kulingana na umri wangu nilitegemea kufikia miaka 25 niwe nimelala na wanawake zaidi ya 100. Hao sita kweli najiona nimefeli sana.

Ombi lango: Naomba mnipe mbinu za kushawishi manzi mpaka aingie katika 18 zangu nitawashukuru sana
 
Don't chase woman!
Make yourself to attract them, watakuja wenyewe.. but hili linawahusu sana introvert coz wanaweza vumilia kama ukijua wewe ni extrovert you just chase them..!
 
Mkuu kufanya mapenzi siyo muhimu Sana kivile and not a pride, me Nina 25 year nimelala na wasichana wawili tu, sometimes huwa najilaumu kwanini nilifanya mapenzi.
Kama unajilaumu sana anza kumegwa ili kubalansi consciousness
 
Dah kweli tunatofautiana kimawazo umri huo kweli hakika niza kwetu
 
Back
Top Bottom