Nisingewliza ka yaliwai kunikuta . Ndio nimeyatafuta kama unaweza kujitetea ,kivipi .elimu aafu kuuliza si ujinga.Mkuu wewe ulishawahi kubaka au kubakwa? Tuanzie hapo
Niliwahi bakwa na Hausi Gelo....
Tunahitajia maelezo ya ilianzaje yaani unatupa fuli stori na sababu ndio muhimu,Yeah, nimewahi kubaka mkuu.
Umeridhika sasa?
Unajua wangapi wamebakwa na wameambukizwa hadi ukimwi na Mahausi Gelo?.SI ungesema tu kwamba ushawahi kubakwa bila ya kumtaja aliyekubaka!
Nadhani hilo ni jukumu la niliyembaka...Tunahitajia maelezo ya ilianzaje yaani unatupa fuli stori na sababu ndio muhimu,
Basi ulikuwa ni mbako wenye faida kwako mkuu,mlee vyema huyo mwanao hata kama atakuwa kwa baba wa kambo nenda kamchukue ni damu yako hiyo,aweza kukufaa ata kabla ujazeeka, maana uenda ulimpata we ukiwa bado kijana saaana.🤣🤣Mm mwaka 2016 .7.27 nilibakwa na mdadaa Kwa kuniwekea dawa Kwenye juice na alibeba mimba na mtt ss ana miaka 9,,,
Mpk Leo nikiwaambiaa watu nilibakwa wanaishia kunicheka na kusema mwanaume awezi bakwa..
Hapana.Unajua wangapi wamebakwa na wameambukizwa hadi ukimwi na Mahausi Gelo?.
Miaka 7/8 sio 9Mm mwaka 2016 .7.27 nilibakwa na mdadaa Kwa kuniwekea dawa Kwenye juice na alibeba mimba na mtt ss ana miaka 9,,,
Mpk Leo nikiwaambiaa watu nilibakwa wanaishia kunicheka na kusema mwanaume awezi bakwa..