acha tu nini ubwabwaaa, tulikuwa tunagombania utandu wa juu na ukoko wa chini ukitukuta tumeinamia sufuria tunakwangua ukoko utoamini. siku ya nyama ndo usiseme unakuwa na sahani tatu tofauti ili urudie upate nyama nyingi.
haah ah ahhaah napata picha una chat na GF wako JF halafu hujui!!Umesoma pale miaka gani?GF wangu back in a day aliwahi soma pale.
hahahhaa, umenikumbusha shamba dress, jamani mie nilienda boarding weruweru moshi kwa wale wanaoijua shule ya weruweru ni wazee wa kilimo kwanza siku ya kwanza nafika shule ijumaa jumamosi tukapelekwa shamba unapewa mstari wa kupalilia mahindi ukifika kati ujui umeanzia wapi na unaishia wapi.
nililia jamani mpaka basi unaenda shamba asubuh mpaka usiku nkaandika bonge la barua kwa baba kwa peni nyekundu kumweleza kwamba shule siiwezi kuna mateso sana kulima, kufyeka na kuchimba mitaro, kuzibua vyoo.
uku nje watu wakituona ni masista duu ila kazi tulizopitia ni balaa, sitaisahau weruweru.
Sie ndo wazee wa kili boys kama uliwahi kuisikia, miaka ya 1980s. Tukishuka moshi stendi wauza karanga wote wanasepa.Nimesoma Narumu sec. shule ya masista iko moshi,jiran na lyamungo secondary!ilikua haina midterm ukingia mle januari ni mpaka may,ukingia july ni mpaka nov,ukifika getin unapekuliwa hata sukari huingii nayo,mavazi ni mwendo wa shamba drec lol!
Hongera mwanakwetu! Mie kwa upande wangu wala hujakosea kabisa......by any means ningerudi home aisee! Nikiwa form 3 nilipelekwa boarding bana, weweeee ilikuwa ni full kulia usipime! Nikamuandikia mdingi barua wakaja kunichukua huyoo nikarudi home......nilikaa kwa wiki moja tu, yaani mpaka leo headmaster akiniona huwa ananikumbusha nilivyoliaga lol!!!
Nimesoma Narumu sec. shule ya masista iko moshi,jiran na lyamungo secondary!ilikua haina midterm ukingia mle januari ni mpaka may,ukingia july ni mpaka nov,ukifika getin unapekuliwa hata sukari huingii nayo,mavazi ni mwendo wa shamba drec lol!
Sie ndo wazee wa kili boys kama uliwahi kuisikia, miaka ya 1980s. Tukishuka moshi stendi wauza karanga wote wanasepa.