DUh, umenikumbusha mbali, wakati wa utoto ndo balee inaanza 2liwahi do kwenye pagare(nyumba isiyoisha), tukacheza kombolele tukaishia ndani ya tanuru la matofali ya kuchoma!
Nikiwa na akili zangu timamu cku moja tukataka ku do kwenye benchi mikadi beach mida ya saa 5a.m hivi(mpaka sasa sielewi ilikuwa ni nini)
Funga kazi c tukakamatwa maeneo ya ikulu tupo kwenye pozi hatukuwa tuna do ili pozi liliwashtua wale maafisa usalama, wacha watupe misukosuko,bahati nzuri nilikuwa mjanja tukamalizana. Huwa namwuliza mke wange zilezilikuwa akili zetu au nini?