Ushawahi kuwa na mwanamke anayenuka kikwapa? Nampenda ila ananuka kwapa

Waswahili hutumia kipande cha limao au maji ya ukoko wa ugali...
 
Wakati nipo bording kuna jamaa lilikua linajiita beberu, na kweli lilikua beberu maana likikatiza sehemu lazima liache harufu.

Room mates wake walikua wanampambania sana jikoni asikose ndimu

Hahah hii mistari imenifanya nicheke kama nipo kwenye show za Cheka Tu
 
Msaada apewe wa kumsaidia huyo dada kuondokana na tatizo sio kumshauri kumwacha
Kuna namna anaweza kuondokana na tatizo hilo,kama unampenda msaidie na si kumwacha
 
Awe anaoga maji yaliyotumika kulowekea sufuria ya ugali aka FUGO
 
Limao au ndimu aweke baking powder asugue kwapani,alafu mwambie Kama hataki deodorant na perfume asipake maana harufu ya perfume+jasho Ni hatariii.

Pia aogee shower jelly zinasaidia Sana kukata jasho Kali mwilini, asirudie nguo na Kama anaweza ajitahidi kubadili Mara nyingi .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom