Ushawahi kutongoza mwanamke mara mbili bila kujua?

Ushawahi kutongoza mwanamke mara mbili bila kujua?

Moneytwister

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2022
Posts
316
Reaction score
1,032
Hii hapa kesi yangu ya kusikitisha
Ilinikuta ijumaa ya juzi katika harakati za kuianza weekend nikakumbuka kuna mrembo flani wa chuo nilichukua namba yake siku za nyuma kidogo maeneo ya micasa lounge.

Ilikua mida ya wanga nakumbuka ni siku alikuwa anacheza simba na yanga watu wengi walikuwa na vibe sana baada ya game kuisha.

Sasa juzi ijumaa katika kupitia pitia mafile ndoano ikamdondokea mrembo alikuwa active kwenye mawasiliano, fasta nikampanga akakubali kuonana na mimi na sikutaka mambo yawe mengi nikamuweka sawa mrembo aje moja kwa moja lodge na kweli mambo yalienda kama nilivyopanga (kwa ufupi)

Yule mrembo nimeonana nae nje ya lodge aisee pale pale kumbukumbu zikanijia kuwa huyu mrembo mbona namjua na nishalamba asali mwaka juzi, yaani kadanganya jina na mimi nilimdanganya jina nadhani ni lile wigi alilovaa kichwani lilinichanganya wala haikuwa tungi kwasababu sikulewa ile siku japo nilipiga vibia kadhaa.

Najiuliza ina maana yule mrembo hakunitambua au ni wale malaya wa riverside kama ni malaya mbona mwanzo nilimgonga sikumpa hata buku na juzi nimemkula akaanza kuleta pigo za kukataa pesa hata ya nauli.

Bado hii kitu ina ukakasi kwangu kuna mwenye experience na matukio kama haya?
 
Yaani Lodge amekuja kwa nauli yake, akakataa Pesa yako na bado akaondoka kwa nauli yake?

Kama jibu ni ndiyo, basi huyo Demu ana Project fulani anaifanya mkuu..
Atakua anafanya Research Project hivyo anatumia Pesa ya Research aliyopewa na Bodi ya Mikopo
 
Mimi nilipata manzi maeneo flani katika harakati za kuchek ball nikamla baada ya muda tukagombana. Sasa maeneo yale yale nikakutana na manzi mwengine nikaomba number zake akanipatia,kumbe yeye na yule manzi wa kwanza ni marafiki na mimi ananijua, kumbe number aliyonipa na yule manzi wa kwanza ambaye ni rafiki yake (mimi nilishafuta number yake), mzee nikaanza mpanga kwenye simu akakubali tukutane nimjigjigi huku mimi sijui maana alinidanganya jina(ila yeye alikua anaelewa kuwa anawasiliana ba mimi kwani nilimtajia jina langu na number yangu anayo),sasa bana siku ya tukio ilinibid nichange gear angani kama rubani mbobezi🤣🤣🤣
 
Leo trh 3 nimekutana na manzi nilimla miezi kama 5 nyuma, hlf nilimkopa kwa ufupi coz nilimla gafla kwake akaniomba pesa nikawa,sina change ucku.

Leo nimemkuta eneo kwenye ujasiriamali hanikumbuki hata kidogo, Nikawaza kumkumbishia kisa chote nikaona ataniona snichi coz nilimla na pesa aliyoomba ckumpa.

Nikaondoka tu kimya kimya
 
Kwenye ngoma ya "STAREHE" ferooz anakuambia
"Nilishasahau kama tulishakutana kimwili/Niipomwona nikamtongoza tena/Tena Kwa mara ya pili/Ona sasa ahaaaa"
Kila la kher ferooz [emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji857]
 
Kwenye ngoma ya "STAREHE" ferooz anakuambia
"Nilishasahau kama tulishakutana kimwili/Niipomwona nikamtongoza tena/Tena Kwa mara ya pili/Ona sasa ahaaaa"
Kila la kher ferooz [emoji16]

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom