Ushawahi kumuona Martin Kadinda???

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
63,269
Reaction score
96,208
kuna mstari kwenye wimbo wa fidq na Juma Nature unaitwa Siri ya mchezo anasema "Usishangae kumuona Martin Kadinda" hilo neno lenye red halileti maana nzuri kusikika kwa hewa ingawa ni Surname ya Martin kwa kitaa ambao wengi hawamjui Martin inawajengea picha mbaya basata tunaomba muwaandikie barua vituo vya redio wa-omit ilo neno liwe "Usishangae ukimuona Martin" bhaaassiii Ni Hayo Tu.
 
tema mate,chapa nyingine nazo basi zichunguzwe
 
Sasa kwa hiyo hata kwenye radio,tv na magaazeti asiitwe hilo jina. Ni upuuzi tu huo.
 
Malizia sentence hiyo..."ulishawahi kumuona Martin kadinda kwenye gari za almasi" ahahhaha kumbe gari za wema zote ni za diamond? Ahahha
 

Fid Q ni mkali sana wa kuandika kwa kweli, huwa napenda sana maandiko yake kwa kuwa yananichangamsha kichwa kwa kunipa changamoto ya kuutafakari kila mstari anaorap una maana gani.

kifupi mshkaji ni kama anamiliki darasa au shule kichwani mwake, Fid q ni mkali sana aisee,

Big up mkali Fid Q. "Hatujuani kwa sababu tunatengana, tunatengana kwa sababu tunaogopana, mlango hauwi mlango mpaka ufungwe au uachwe wazi"

Inataka tafakuri sana kuielewa hii mistari!
 
Malizia sentence hiyo..."ulishawahi kumuona Martin kadinda kwenye gari za almasi" ahahhaha kumbe gari za wema zote ni za diamond? Ahahha

Hyo metaphor sijui anamaanisha nini kwamba jamaa hadindi? Au ndio surname tu? Ndio maana ili kuondoa confusion bora waliondoe hilo neno maana ni ambiguous!
 

Mbona nilisikia BBC wakisema "walimu Kenya waidindia serikali"!
 

I know this dude nilikua nae iringa alifukuzwa pale tosa kwa kutangazwa assemble na mkuu wa shule maana alikamatwa anafanywa mchezo mbaya na mwenzie sasa wanavyo mpaisha paisha sijui wanatangaza vitu gani unless awe aliacha ule mchezo mchafu.
Vingenevyo si balozi mzuri kutajwa tajwa kwenye nyimbo
 

"Sister du aliacha mlango wazi ili wageni wasigonge sana"
 
Malizia sentence hiyo..."ulishawahi kumuona Martin kadinda kwenye gari za almasi" ahahhaha kumbe gari za wema zote ni za diamond? Ahahha

Acha uongo anasema ''usishangae kumuona martin kadinda na u smart anaotinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…