Ushawahi kulazimisha penzi?

Umenikumbusha kipindi nasoma niliwah kuwa na huyo kaka nikimuambia nimem'miss ananikaripia[emoji23][emoji23] eti namtoa kwene mood ya kazi . Ukipenda usipopendwa ni shida sana.
 
 
Kusema kweli, simu au txt za mtu ambaye humpendi zinakera saana, utatafuta sababu zote ili tuu usiongee naye, yaan kila ukiona txt yake au simu yake hasira zinakuja.

Bahati mbaya sana kadiri anavyokaba/desparation/anavyolalamika ndo anakuboa zaidi.. ni shida mno.

Na nisiwadanganye, kumwambia binadamu mwenzio sikupendi ni ngumu kuliko mnavyofikiria. Yaan ngumu Sana, Hasa kwetu sisi wanaume.

Tena ukilalama Sana atakuwa anapiga simu kutimiza wajibu tuu, ili mradi aonekane aliulizia hali yako...

Mkiona hivyo mfanye nn wadada???

Mtie wivu kdg, post hata marafiki zako wa chuo, usimg'ang'anie Sana. fanya kama nawe unamwacha, akiwa anajirudi usiwe mrahisi kurudi, japo utakuwa unajipa tabu internally lakin kaza. Kuwa ghali kdg, ahangaike, akushawishi shawishi basi. Siyo ukiguswa tuu umo
 
Achana na hivyo visharobaro vyenu.. njoo kwetu sisi wazee tukupe raha ya maisha mkuu.
 
Penda kulingana anavyopendwa! Ukifanya hivi hutakaa uumie!
 
"unaeza dhani Upo kwenye Mapenzi kumbe ushaachwa zamaaani"[emoji106]
 
. Na ntakuloga wewe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].....Sasa ntafanyaje ukiamua kuniroga...
Kama ningeamini katika Sihri na uchawi...basi kwenye matukio ya maisha yangu Mpaka Sasa ..Nilitakiwa niwe nashinda kwa Waganga....

Maana Mambo Ni HOVES
 
YAAAANI SIO HASIRA..NIMECHUKIA SANA SANA SANA SANA..

Tena nikama nimetonesha kidonda kabisaaa...

Nimekereka Sana.
Pole ila utam wa maisha ndo upo kweny mambo kam hayo.
Leo umeumizwa kesho una furaha.leo una hela kesho umefulia.sasa iyo ndo tafsiri halisi ya maisha.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].....Sasa ntafanyaje ukiamua kuniroga...
Kama ningeamini katika Sihri na uchawi...basi kwenye matukio ya maisha yangu Mpaka Sasa ..Nilitakiwa niwe nashinda kwa Waganga....

Maana Mambo Ni HOVES
πŸ™„πŸ™„πŸ™„ pole sana mkuu mpaka nimeingia huruma sasa daaahh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…