Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,887
Hahahahaha kuna sehemu nimewachokoza
Wakakumwagia povu ama walikuwa wastarabu kama kawaida yao?
Hahahahaha kuna sehemu nimewachokoza
Ningehakikisha nawapenda,siwasaliti
Ila ikitokea nikaambiwa maneno ama vijitabia kama vya mleta mada hapo juu..naanza kunyosha tabia...kimsingi mwisho wa siku mwanamke hawezi kumkomoa mwanaume,ila mwanaume anaweza
Tatizo la mwanaume anataman kisha anapenda tatizo linakuja akisha fika stage ya kupenda hata umwambie huyu dem anaukimwi hasikii tena anaenda kumwambiaSasa ukiambiwa hivyo si unamdelete tu
Mi ningekuwa mwanaume wanawake wasingenisumbua kabisa...ningenyosha tabia ya mmoja baada ya mwingine
Sasa ukiambiwa hivyo si unamdelete tu
Mi ningekuwa mwanaume wanawake wasingenisumbua kabisa...ningenyosha tabia ya mmoja baada ya mwingine
Tatizo la mwanaume anataman kisha anapenda tatizo linakuja akisha fika stage ya kupenda hata umwambie huyu dem anaukimwi hasikii tena anaenda kumwambia
Tatizo la mwanaume anataman kisha anapenda tatizo linakuja akisha fika stage ya kupenda hata umwambie huyu dem anaukimwi hasikii tena anaenda kumwambia
Ila nyie bado mpo na advantage moja kubwa...una uwezo wa kumpiga tukio moja kubwa mwanamke ambalo atakukumbuka maisha yake yote
Wakakumwagia povu ama walikuwa wastarabu kama kawaida yao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kibaya zaidi utasikia eti baby old story anasema ww unaukimwi tuachane kinacho fata dem unaona hakusalimii hata kukusemesha[emoji23][emoji23][emoji23]eti nimeambiwa kuwa una ukimwi. Lakini baby me naona wanakusingizia
Naomba coz
Acha tu wapigwe matukio.
MuhhhhAchana nao hawa hawana shukrani yoyote acha yapigwe tu
Nawasubiria
Wewe ndo mimi SasaSasa ukiambiwa hivyo si unamdelete tu
Mi ningekuwa mwanaume wanawake wasingenisumbua kabisa...ningenyosha tabia ya mmoja baada ya mwingine
Mungu anawaona nyie watuKwanza hawana mbele wala nyuma
Tatizo hata kutag hujui
Uzi upi nije kuangalia mpambano wakija
Najua kutag bhanaa we bi mdogo ukoje lakini!