Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,789
Iyo ngumuNenda Kazuramimba huko wamejaa tele beba tu malapa yeboyebo utawaokora kama panzi
Ila history inachamgiaTabia ya Mtu haihitaji historia inategemea Malezi na mazingira ya makuzi n.k ....
Wanatunza mbele, wanaharibu nyuma.
Alisikika mlevi mmoja hv
Sawa bro endelea kupambanaIyo ngumu
Sasa dawa zikiisha?Sawa bro endelea kupambana
Mh kila kitu nafanyaUlikosea kumuonyesha kumjali Kama Mkeo.
Sijafikiria badoKwani kipi kinakufanya ushindwe kumuoa badala yake unakazania kutak kupiga tu ? π
Embu fafanuaWapemba wapemba wapemba Hawa watu Wana uchawi mbaya sana
Anakusakimia hujamboo πUkimshindwa nitumie namba ake Kuna biashara nataka nifungue kizimkazi anaweza akawa partner π
SijamboπAnakusakimia hujamboo π
Alinipenda sana nikamuuliza kwenu watu wa dini sana, mimi siamini Mungu, tukienda wakinipa kitabu (Quran) nisome itakuwaje?Hell
Hali ilikuwaje ulipo date na mpemba mimi kwangu naona ni ngumu hawa wadada wa kipemba et anagoma kunipa mpaka nimuoe na tuna mwezi tangu tufahamiane mimi uamuz wangu ni akiniomba pesa na mpanga mpaka anaelewa ila kama yeye anavyo nizungusha kunipa na kudai ni bikra
Wewe kwako ipoje nipeni uzoefu naona nataka nimkatae mapema
Pambana umuoe huyo mpemba muwe mnashindana mapishi.....Hell