- Thread starter
- #41
Mkuu hivii vitu mtu hujikutaa kaingia coz mwenyewe niliwah kujiapizaa sitofanya ila huyuu mdada kawa Delila kabisakwenye janga la kujitakia sipitagi kutoa ushauriiii.
Napita hivi na ushauri wangu.
Mkuu hivii vitu mtu hujikutaa kaingia coz mwenyewe niliwah kujiapizaa sitofanya ila huyuu mdada kawa Delila kabisakwenye janga la kujitakia sipitagi kutoa ushauriiii.
Napita hivi na ushauri wangu.
Mhhhh kwahiyo MKUU, unamaanisha anapima iman yangu😳
Kwann alikata msitumie zana?Mhhhh kwahiyo MKUU, unamaanisha anapima iman yangu😳
Asante mkuu, nimekuelewa.Pole mkuu kosa ni kosa na Sisi sote tu wakosaji, fanya hivi tubu kwa nia ya kumaanisha na achana na Huyo dada sawa mkuu
Alidai huwa anaumia tumbo
Mkuu ushauri wako ni muhimuUtoto raha sana...
Huyoo alishapangaa mov yakee mzeee hawa watu hawaaminiki mzeeeAlidai huwa anaumia tumbo
Mhhhhh
Dah kadadaa,jambo limenitokea kweli ni jana tuUzi umejaa emoji kama kaandika mwanamke
Hii ni chai tu kama chai zingine