Ushaurii Wenu

Ushaurii Wenu

wewe ni snitch boy....

na masnitch fate yao ni kushoot na gun kwenye ubongo..

unaanzaje kutembea na mke wa rafiki au ndugu yako???

pumbavu sana!
kaka mapenzi ni kitu cha ajabu Sana, niliweza kumkwepa huyu mdada zaidi ya miez sita hakuchoka kunisaka mpk kanitia kitanzi.
 
kaka mapenzi ni kitu cha ajabu Sana, niliweza kumkwepa huyu mdada zaidi ya miez sita hakuchoka kunisaka mpk kanitia kitanzi.
kwahiyo ukaona umtunikie mkuyenge??? sasa pambana na hali yako, hili jinamizi litakuwinda maisha yako yote mkuu....
 
kwahiyo ukaona umtunikie mkuyenge??? sasa pambana na hali yako, hili jinamizi litakuwinda maisha yako yote mkuu....[/QUO
dah lishaaanza kunisumbua MKUU coz mdada nahisi kutaka kubadl uolewaji.
 
hapo bado mbona...... mengi yatakuja. ukipanda mahindi lazima uvune mahindi mkuu
 
Huyo mke wa mtu anakutingishia tu kiberiti hamna cha mimba wala nini, anakupima kama kweli unampenda au la.
sasa mi nnachokushauri mwambie ukiachika mi nitakuoa, ntakujengea nyumba na pia ntakununulia gari japokua we mwenyewe hauna hata baiskeli.
Hawa ndugu zetu hua wanapenda sana kudanganywa na kusifiwa.
Ila nakupa tahadhari tafuta walinzi wawe wanakulindia masaburi yako.

Maendeleo hayana chama
Mkuu mdada ndio analotaka hilo
 
Kwanza wkt unaenda kufanya huo upuuzi hukutuaga yamekushinda huko unakuja kuomba ushauri
Pili ulijua kabisa kuwa huyo dada kaolewa na mnafahamiana na mume wake ww unaroho mbaya sn na mharifu sn

Ushauri kuwa tayari kwa lolote litakalotokea km ni kulea mtoto au kuachiwa mke vyovyote vile uwe tayari
 
kwenye janga la kujitakia sipitagi kutoa ushauriiii.

Napita hivi na ushauri wangu.
 
Kwanza wkt unaenda kufanya huo upuuzi hukutuaga yamekushinda huko unakuja kuomba ushauri
Pili ulijua kabisa kuwa huyo dada kaolewa na mnafahamiana na mume wake ww unaroho mbaya sn na mharifu sn

Ushauri kuwa tayari kwa lolote litakalotokea km ni kulea mtoto au kuachiwa mke vyovyote vile uwe tayari
sawa mkuu ktk hili ni rahisi sana kuhukum,ila mapenz yana-run dunia,
 
Back
Top Bottom