Ushaurii Wenu

Ushaurii Wenu

Essien jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
580
Reaction score
1,088
Habarini za saiz wakuu! Hope mko vizuri!!!! .

Naomba kushauliwa Tafadhali, ni Kama wiki Moja imepita toka nifanye mapenzi na mke wa mtu, ktka kufanya nae mapenzi hatukutumia mpiraa 😱.

Leo mdada kanipigia simu ananitaarifu kuwa anamimba kwani anajisikia dalili zote Kuwa nayo😳.

Nikamuuliza ko tunafanyaje?????
Akaniambia ananisikiliza mm nifanye maamz 😱😱 .
Nikajaribu kumwambia kwakuwa kaolewa na mmeo una mda hamjagegedana haina budi kuitoa, mdada akagoma akasema hawezi kutoa mimba.

Nikamuulizaa ko ww unaona tufanyejee ili isiwe shida??? Anajibu yupo tial kutoka kwa mmewe endapo Atafukuzwa. Nikamuuliza ko utaenda wap na unajua wazi kuwa jamaaa tunafahamiana na ww ndiye uliyegoma kutumia mpira?

Alikata simu mpk sasa sijuiii nifanyeee nini wadau 😳😳.naombeni ushauri juu ya hiliii wapendawa nimekamatika hatarii.
 
Ujinga wako umeanzia pale ulipogonga Dem wa Mshikaji wako mnayefahamiana.

Weee ni Rafiki Mdananda. na adhabu yako ni KULIWA KINYEO TU ..


nmeandika huku nausingiziiiiii
Sawaaa MKUU lakini, shida ni mdada ndio chanzo coz aliweka chambo na nikajikuta nimo 😛
 
Elewa tu kwamba kutembea na "mke wa mtu" ni moja kati ya vitu vinavyoweza kufupisha uhai wako au kukufanya ukaishi kwa aibu kubwa mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: THT
Huyo mke wa mtu anakutingishia tu kiberiti hamna cha mimba wala nini, anakupima kama kweli unampenda au la.
sasa mi nnachokushauri mwambie ukiachika mi nitakuoa, ntakujengea nyumba na pia ntakununulia gari japokua we mwenyewe hauna hata baiskeli.
Hawa ndugu zetu hua wanapenda sana kudanganywa na kusifiwa.
Ila nakupa tahadhari tafuta walinzi wawe wanakulindia masaburi yako.

Maendeleo hayana chama
 
Kitu ambacho hukijui, wanawake wanaakili mara mbili ya wanaume haswa linapokuja suala la mapenzi.

Chochote unachofanya, fanya kwa akili na tahadhari kubwa sana. Majibu yako yawe ya akili na tahadhari kubwa sana.

Hawa wanaanza kutongonzwa akiwa na miaka miatano, mwanaume anaanza kutongoza wengi akimaliza form four au form six. So think mwenyewe, expert hapo ni nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kuanzia ulichofanya mpaka uandishi wako unasadifu uwezo wako wa kufikiri..!!
Mkuuu Binadam hatuko sawaa ktk kufikiri na kutafakari, je ushaur wako ndio huuu na uwezo wako ulionao 😛
 
Da
Kitu ambacho hukijui, wanawake wanaakili mara mbili ya wanaume haswa linapokuja suala la mapenzi.

Chochote unachofanya, fanya kwa akili na tahadhari kubwa sana. Majibu yako yawe ya akili na tahadhari kubwa sana.

Hawa wanaanza kutongonzwa akiwa na miaka miatano, mwanaume anaanza kutongoza wengi akimaliza form four au form six. So think mwenyewe, expert hapo ni nani

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah asante MKUU. hiviii inawezekana demu anatikisa kiberiti aone reaction yanguee? 😱
 
Back
Top Bottom