kiboko samson
Member
- Oct 14, 2013
- 73
- 74
Kwa amabaee anaelewa Biashara hii namna ya kuagiza mzigoo toka Japan moja kwa moja na garama zake anaisaidiee maana mahitaji kuagiza moja kwa moja
Unataka kufanya Biashara ya Used ama mpya kabisa?Kwa amabaee anaelewa Biashara hii namna ya kuagiza mzigoo toka Japan moja kwa moja na garama zake anaisaidiee maana mahitaji kuagiza moja kwa moja
Mkuu ni used toka japanUnataka kufanya Biashara ya Used ama mpya kabisa?