USHAURI

USHAURI

Hans Wambura

Member
Joined
May 30, 2014
Posts
6
Reaction score
0
UBORA WA ELIMU
Nshukuru kauri ya waziri wa elimu juu ya ubora wa elimu kama kipaumbele chake cha kuanzia ktk majuku yake ktk wizara hii nyeti. kwangu mimi inanikera kuona watendaji tukio chini hatuzingatii ubora bali wingi na sifa za majigambo kwa kufaulisha wengi bila kujali mwanafunzi ana uwezo au laa. MUHESHIMIWA anza luangalia ubora huo kwa kuwapima wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2016 kwa kufanya mtihani kabla ya kuanza

asante na kazi njema ni mimi Mtanzania wa kawaiga
 
Mheshimiwa aanze na ww kwanza. Sijui ulipitaje pitaje huko shule na hujui kuandika
 
Back
Top Bottom