Ushauri

GGIRRIMATA

Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
21
Reaction score
1
Natumia betri ya incoe ya maji N50 nilichanganya waya ya sola nikaweka waya wa hasi kwenye sehemu ya chanya na chanya kwenye sehemu ya hasi sasa betri haiwashi hata taa nifanye nn?
 
natumia betri ya incoe ya maji n50 nilichanganya waya nikaweka waya wa hasi kwenye sehemu ya chanya na chanya kwenye sehemu ya hasi sasa betri haiwashi hata taa nifanye nn?

nunua taa nyingine maana hiyo umeiua
 
Natumia betri ya incoe ya maji N50 nilichanganya waya nikaweka waya wa hasi kwenye sehemu ya chanya na chanya kwenye sehemu ya hasi sasa betri haiwashi hata taa nifanye nn?
Mkuu fungua vizibo vya hiyo betri kisha mimina hayo maji then weka maji makali halafu ichaji kwenye mashine za kawaida itakuwa bomba......
 
Maji yaliyopo kwenye betri unayatoa yite au unabakisha kiasi mkuu ``mjini chai``
 
Mtoa mada ana maanisha kwamba ana Betri ya Gari N50 INCOE inayotumia maji. Huwa anaichaji kwa sola ila alijichanganya nakufunga waya ya sola kwenye hasi akafunga chanya na kwenye chanya akafunga hasi kwa masaa kadhaa hivi.
Sasa betri imepungua nguvu.
Kwa anaefahamu nini afanye ndio anaomba ushauri kama ni kumwaga maji amwage yote au apunguze. Na maji atakayo nunua ili kuyatumia ni maji ya moto au ya baridi (ndio lugha inayotumika dukani).
Mwenye uelewa na hili msaada wako unahitajika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…