musarashidy12
Member
- Jul 1, 2019
- 19
- 10
- Thread starter
-
- #41
Bro we lea tuu... mbona mi wangu anamiezi miwili na nshakubalina na hali...
Angalizo tuu hii mambo ni zaidi ya kubeti..
Namaanisha situation kama yako ndo imenikuta... ila mi kikweli bado najifikiria kwanza kama ninyoe au la..!wa kwako ana mimba ya miez miwili?
I am at your service mkuuWewe ni Legend mkuu
nashkuru sana kiongoz umejaaliwa hekimaUmekosa nini mdogo angu!? Au kwasababu amekuambia huduma utajiongeza tu hana shida na hela? Ukaona hapo utajipigia tuuuh
Mind you mwanamke ata awe na hela atakuletea shida tu
Waliozaa hawaachani labda atoe iyo mimba ila tofauti na hapo ndugu unakubali gunia la misumari,na kwanini atoe kisa wewe achana nae au piga sepa
lqkini pamoja na yote nilimwambia kuwa mm nna matatzo ya mgongo so dokta kaniambia nicfanye kaz nnayofanya kwa miez 6 nipatiwe tiba then ntaendelea na shughulu zangu akakubaliana na hali yangu na kunipa moyo kiongozi na na tangu siku iyo sijamckia akililia shida zaid ya aliniambia anishindikize hospital nkamwambia apumzike tunashkuru sana kiongoz umejaaliwa hekima
Pale mbuzi anapojipeleka machinjioni akijua anakwenda malishoni.mimi lengo langu sio kwamba mtt awe wa kwangu hapana
pole ndug unajua inabid uufunze moyo na hisia zako kukwepa mamabo amabayo yatakuja kutukia mbele..kiufupi anakutaka wewe au anaonesha kukupenda ili kupoza maumivu ya mtu aliyemuacha na wewe anakutumia kama support ya mimba ili ajifungue halafu aendelee na mambo mengine...kwanza wewe huna uhakika kama hampendi mshikaji tena maana mwanamke kufikia hatua ya kukubali kubeba mimba ya mwanaume ni alimpenda na kumthamini na ni rahisi sana ya jamaa kurudi kwa gia ya kusema tuelewane ili tulee mtoto na akarudi kwa msela na akakusahau kabisa...ndug yangu kama unanisikiliza usifanye huo ujinga tafuta wa kwako umtie mimba...mmi mwenyewe kuna mwanamke nimtia mimba na ana msela wake ila hata dakika hii anamaliza kuniambia aminimss ni mplekee mtoto zawadi na unajua nikienda kule kinachotokea ni nini... take it from me bro utanishukuru siku mojahabari zenu humu naombeni ushauri kuna mwanamke nimempenda ila siku namfata kumwambia hisia zangu akanimbia alikuwa na mpenz wameachana ila ni mjamzito na ina miez minne ila anaonesha ananipenda pia na wala hana kuniomba omba hela na swala la huduma aliniambia ni kujiongeza tu mwenyewe na kama nimempenda nimpende yeye kama yeye naombeni ushauri jaman
samahani mkuu kama hutojali huyu kwako ni mwanamke wa ngapi?lqkini pamoja na yote nilimwambia kuwa mm nna matatzo ya mgongo so dokta kaniambia nicfanye kaz nnayofanya kwa miez 6 nipatiwe tiba then ntaendelea na shughulu zangu akakubaliana na hali yangu na kunipa moyo kiongozi na na tangu siku iyo sijamckia akililia shida zaid ya aliniambia anishindikize hospital nkamwambia apumzike tu
ni kama mwanamke wa 6 hivi kakasamahani mkuu kama hutojali huyu kwako ni mwanamke wa ngapi?
sasa mkuu mbona kama unakua na udhaifu hivi ...kweli ndugu acha kujiingiza kwenye matatizo kaka...kweli mzeee acha kabisa uatkuja kujuta...ni kama mwanamke wa 6 hivi kaka
nq mawazo niliyonayo kk sio sr hta kaz cfanyisasa mkuu mbona kama unakua na udhaifu hivi ...kweli ndugu acha kujiingiza kwenye matatizo kaka...kweli mzeee acha kabisa uatkuja kujuta...
utapotea mzee me nakuambia kama kaka yako acha....nq mawazo niliyonayo kk sio sr hta kaz cfanyi
dah kaka umeniamsha usingizinpole ndug unajua inabid uufunze moyo na hisia zako kukwepa mamabo amabayo yatakuja kutukia mbele..kiufupi anakutaka wewe au anaonesha kukupenda ili kupoza maumivu ya mtu aliyemuacha na wewe anakutumia kama support ya mimba ili ajifungue halafu aendelee na mambo mengine...kwanza wewe huna uhakika kama hampendi mshikaji tena maana mwanamke kufikia hatua ya kukubali kubeba mimba ya mwanaume ni alimpenda na kumthamini na ni rahisi sana ya jamaa kurudi kwa gia ya kusema tuelewane ili tulee mtoto na akarudi kwa msela na akakusahau kabisa...ndug yangu kama unanisikiliza usifanye huo ujinga tafuta wa kwako umtie mimba...mmi mwenyewe kuna mwanamke nimtia mimba na ana msela wake ila hata dakika hii anamaliza kuniambia aminimss ni mplekee mtoto zawadi na unajua nikienda kule kinachotokea ni nini... take it from me bro utanishukuru siku moja
Sasa hapa unataka ushauri gani?,kwamba umgegede au usimgegede?,mie sijakuelewa kabisahabari zenu humu naombeni ushauri kuna mwanamke nimempenda ila siku namfata kumwambia hisia zangu akanimbia alikuwa na mpenz wameachana ila ni mjamzito na ina miez minne ila anaonesha ananipenda pia na wala hana kuniomba omba hela na swala la huduma aliniambia ni kujiongeza tu mwenyewe na kama nimempenda nimpende yeye kama yeye naombeni ushauri jaman