Ushauri

Ushauri

Asante kwa ushauri, ugumu wa maisha upo kwa kila mtu lakini huyu Rafiki yangu yeye anamaanisha maneno aliyotamkiwa, miaka inazidi kusonga lakini hakuna kuolewa wala kuwa na Watoto au Mtoto.
Ok! Kumbe ni tatizo dogo hivo ndo inaita maisha magumu? Kuolewa na kupata watoto ni mpango wa Mungu. Mbona kuna watu wengi tu hawana hivyo vitu na wako happy tu. Basi nikwambie tu mwambie akae chini ya mkono wa Mungu kwa uaminifu. Mungu wa mbinguni hajawahi kumwacha mwaminifu.
 
Yule ni mke wa kaka yako,waache waishi maisha waliyoyachagua;we nenda kwenu kwa wazazi wako kama bado hujajitegemea
 
Ok! Kumbe ni tatizo dogo hivo ndo inaita maisha magumu? Kuolewa na kupata watoto ni mpango wa Mungu. Mbona kuna watu wengi tu hawana hivyo vitu na wako happy tu. Basi nikwambie tu mwambie akae chini ya mkono wa Mungu kwa uaminifu. Mungu wa mbinguni hajawahi kumwacha mwaminifu.

Asante nashukuru nitamfikishia huu ujumbe wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom