Nimemaliza kidato cha NNE mwaka Jana na kupata div 2 na kwa sasa Nina matatizo kiafya sisikii vzuri niende chuo cha afya au niende advance ushauri tafadhalu

We kweli una matatizo tena mengi tu wala sio ya masikio, kwani huko chuo cha afya na advance hakuhitaji kusoma!!? Kote utafundishwa kama hutosikia basi utaona kilichoandikwa.
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.