Katika kipindi hiki ambapo Serikali yetu inapambana kuhakikisha wahitimu wa vyuo walionufaika na mikopo wanalipa madeni yao hata kidogokidogo.Nashauri serikali kuwapa kipaumbele kwenye ajira wahitimu waliofanikiwa kulipa deni lote/ walioanza kulipa kwa juhudi zao wenyewe na wanaelekea kumaliza.Nini maoni yako katika hili