Yeah umesema ukweli mkuu, ndio maana niliona kuwa achukue s4 popularlg g4 ni bora kupita kiasi compare na s4. lg g4 imetoka kipindi kimoja na samsung galaxy s6.
ila kuna feedback nyingi humu jukwaani na internet kwa ujumla hio simu ni rahisi kupata tatizo la motherboard na kupelekea kujizima na kujiwasha kila mara. na ninavyowajua wabongo sababu hizo simu zina tatizo na zinauzwa bei rahisi watakuwa wameshazisomba sana huko ughaibuni ili waje waziuze huku kwa faida kubwa.
budget yako ni kiasi gani? zipo simu nzuri nyingi used.
Chief budget yangu ni 350k niliona hizo simu zina cheza kwenye bei hiyo hata chini ya apo ila sikugundua matatizo yake asante kwa kunijulisha.Niliuliza redmi 5A zinauzwa 400k pale giant electroniclg g4 ni bora kupita kiasi compare na s4. lg g4 imetoka kipindi kimoja na samsung galaxy s6.
ila kuna feedback nyingi humu jukwaani na internet kwa ujumla hio simu ni rahisi kupata tatizo la motherboard na kupelekea kujizima na kujiwasha kila mara. na ninavyowajua wabongo sababu hizo simu zina tatizo na zinauzwa bei rahisi watakuwa wameshazisomba sana huko ughaibuni ili waje waziuze huku kwa faida kubwa.
budget yako ni kiasi gani? zipo simu nzuri nyingi used.
samsung galaxy grand prime pro haina utofauti sana na redmi 5a inapatikana chini ya 300k. hio redmi 5A inamake sense ikiuzwa bei rahisi, ila ikizidi laki 3 haina maana.Chief budget yangu ni 350k niliona hizo simu zina cheza kwenye bei hiyo hata chini ya apo ila sikugundua matatizo yake asante kwa kunijulisha.Niliuliza redmi 5A zinauzwa 400k pale giant electronic
350k anapata s6 kama kawaida. 400 hata note 5 pia anapata. Kweli zipo simu kibao kwa hyo pesa. Na mjini ukiwa na 500k basi simu yoyote waweza nunua anytime kwa watu wenye shida za pesasamsung galaxy grand prime pro haina utofauti sana na redmi 5a inapatikana chini ya 300k. hio redmi 5A inamake sense ikiuzwa bei rahisi, ila ikizidi laki 3 haina maana.
pia kwa used hela hio unaweza pata s6, sema 400k ni rahisi kupata iliyo katika hali nzuri