New member umri sahihi hakuna inategemea mazingira uliyopo,hali ya mwili wako,kipato chako kuweza kumudu kujiendesha au kuendesha familia na ukomavu wa akili yako Ila wengi wanapendekeza mwanaume aoe akiwa na miaka 30 mwanamke aolewe kati ya miaka 21~25