Ushauri wizara Ardhi kuepuka Skwata ujenzi holela

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,610
13,160
Kwa kuwa inasemekana upimaji ni garama kubwa!
Tutumie vijana wetu Chuo cha ardhi,wakienda field wafanye master plan ya awali kila kijiji,tutumie hata karatasi za A4 @20tzs na manila 200 pia wawape elimu viongozi mitaa vijiji vipimo Barbara na nyumba makazi.
Watanzania wakielimishwa hususani vijijini wanaheshimu sana kanuni na taratibu.Mfano vijiji Kagera,Kilimanjaro na Mbeya.
Tupunguze aibu ya miji ya hovyo na michafu Siku za usoni.
 
tunaweza kuanza wa wenyekiti wa vijiji/mtaa na watendaji wanaoidhinidha uuzwaji wa maeneo amabayo hayajapimwa
,wahakikishe kila kiwanja wanachoidhinisha kina barabara ya kufika kwa gari

kunakua na mitaa inayofikika na sio kuidhinisha sehem ambazo hazifikiki
 
Viongozi hao wanajengewa uwezo na kupewa nakala mipango mtaa ama kijiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…