Nielekeze mkuu naipelekaje au niandike upyaUmepotea njia ingependeza zaidi kama ungeipeleka kule kwenye jukwaa la Technology
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemeana unatumia email kutoka kwenye domain name ipi km ni go.tz sawa haupo salama ila km ni google ac au ymail nk mlolongo wake ni mrefu na ugumu upoHabarini za usiku huu
Naombeni kujua je ntakuwa salama kwa kiasi gani kwenye kuitumia JF
Je endapo nafungua e-mail ya uongo, then naitumia kufungulia account jamii forum, je hakuna uwezekano wa account yangu ya gmail kudukuliwa na baada ya kudukuliwa,
wakaangalia kifaa gani kilitumika kuifungua iyo account, wanaweza kuta ni komputa, kumbuka wakati wa kufanya installation ya operating system inatupaswa kuandika majina yetu je kwenye e-mail hawezi kuta jina la komputa iliyotumika kufungulia iyo e-mail ?
Kama sio, je modem au internet iliyotumika awawezi kujua namba ya line kwenye iyo modern?
Naombeni kuhakikishiwa kwa kuelezewa mawili matatu kuhusiana na kuwa salama kwa member wa JF wa kutokufatiliwa kwa member wake?
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekusoma mkuuInategemeana unatumia email kutoka kwenye domain name ipi km ni go.tz sawa haupo salama ila km ni google ac au ymail nk mlolongo wake ni mrefu na ugumu upo
MmmhHapa sie wote tunadukuliwa na Mexence Melo na wenzake.....wanawauzia kina Zitto kila kilicho chetu....ukimkashifu Zitto ama Lissu kina Maexence wanawapelekea ripoti.
Sijakuelewa mkuu, dc na kuhuliza kwangu kunaingilina vipi?jaribu mkumtext DC wa pwani uone mrejesho
Kinyume na hapo jamiiforum wakuuze kupitia email yako na taarifa zako ulizo weka wakati wa kujisajili kama nako ni za uongo basi watumie ip andress kupitia ISP wako kuku trace hivyo jamii forum ndiye mlinzi wako wa kwanza