Marga
Senior Member
- Jun 8, 2012
- 113
- 34
Kuna shosti yangu wakaribu kakumbwa na jambo apa....miaka kama mitano iliyopita alikua na mpenzi ila kwa sababu kadha wa kadha wakatengena baada ya muda akapata mpenzi mwingine na kama ilivyokua jamaa akamtelekeza yeye pamoja na mtoto.Sasa kakutana na mpenzi wake wa enzi naye ataka warudiane pia yupo tayari kumlea mtoto.Tatizo linakuja hapa
1.Ndugu za mwanaume watamchukuliaje maana wanafahamu habari yote?
2.Mwanaume anasumbuliwa sana na mwanamke aliekua chanzo cha wao kutengana
3.Je familia pamoja na huyo mwanaume watampenda mwanae kwa dhati au?
SABABU KUU YA WAO KUACHANA AWALI ni mvulana alicheat ktk uhusiano na akampa msichana mwingine mimba ila msichana alijaitoa ilipofikisha miezi minne