Cardinal06
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 963
- 327
Hivi ni sawa kumuoa mwanamke aliyekuzidi umri?? Kidini imekaaje?? Mfano mwanamke amekuzidi miaka 4, nini madhara ya kibayolojia??
Asante mzeeeHaina madhara
Umario unaujua ??? Ungekua nakazi ,,Mama yako angejiuza and still analala topeni ??? Pumbavuuu sanaAcha umario dogo..kafanye kazi..rubbish