nyangwara Senior Member Joined Dec 20, 2012 Posts 130 Reaction score 51 Oct 26, 2014 Thread starter #21 hajaondoka na pesa coz tumeshakwenda bank na kukuta pesa zake zote zipo
nyangwara Senior Member Joined Dec 20, 2012 Posts 130 Reaction score 51 Oct 26, 2014 Thread starter #22 Konda wa bodaboda said: Wewe umechanyikiwa kwa lipi, kwani yeye ni babako? halafu kama mtu aliondoka akiwa kwake wewe mkwe wake inakuhusu nini? wacha mzee ale mafao ya kazi aliyotaabikia. Click to expand... asante kwa mchango wako japo ujui unalolisema
Konda wa bodaboda said: Wewe umechanyikiwa kwa lipi, kwani yeye ni babako? halafu kama mtu aliondoka akiwa kwake wewe mkwe wake inakuhusu nini? wacha mzee ale mafao ya kazi aliyotaabikia. Click to expand... asante kwa mchango wako japo ujui unalolisema
nyangwara Senior Member Joined Dec 20, 2012 Posts 130 Reaction score 51 Oct 26, 2014 Thread starter #23 Jast Bleiz said: Hahahaa mzee anakula ujana wao wanapata presha na simu kaipiga kabisa nyundo hataki jam. Click to expand... hajaondoka na pesa coz tumeenda bank salio lake lipo
Jast Bleiz said: Hahahaa mzee anakula ujana wao wanapata presha na simu kaipiga kabisa nyundo hataki jam. Click to expand... hajaondoka na pesa coz tumeenda bank salio lake lipo