natumaini mko salama wana JF
wandugu naomba ushauri wenu kwasababu hapa nilipo nimechanganyikiwa, siku ya jnne baba mkwe wangu aliondoka kwake kwenda kwenye mishe zake muda Wa asubui lakini toka siku hy hajarudi nyumbani na simu yake haipatika, tumejitahidi kumtafuta lakini hatujafanikiwa(huyo babamkwe anaishi mwanza na amestaafu mwezi Wa saba) naombaeni mchango wenu Wa mawazo
hana account fb
Weka picha yake huenda tunapishana nae mitaani.
Anatumia mafao yake na yakimaliza atarudi
tayari tumeshatoa taarifa
Hahahaa mzee anakula ujana wao wanapata presha na simu kaipiga kabisa nyundo hataki jam.
Ushauri wa maana kuliko wote ni huu...........tafadhali weka picha...........
na ametowekea mkoa gani.......?........anapenda kutembelea maeneo gani.........
kuna mzee hapa Yaeda ni mgeni tunamuona anatumbua maisha yupo na kapackage kake sasa hatuelewi...........labda ni yeye........
Hahahaa mzee anakula ujana wao wanapata presha na simu kaipiga kabisa nyundo hataki jam.
Hivi what is so funny here? Mwenzetu amepatwa na matatizo , halafu mnamake funny of it why? Jamani uwena huruma. Haya matatizo ombeni yasiwapate , kwa maana sidhani kama mngekumbuka kumake funny on yourself. Kaka wa watu amekuja kuomba msaada huyo baba aliyepotea, be really people , matatizo hayana siku Leo kwa mwenzio , kesho jiandae Kwako halafu tukija kumake funny on your problems, ndio hapo tutakapojua, kachumbari ni mboga au si mboga . Asante!