Ushauri wenu unahitajika

Dah jipe ujasiri kamface umweleze ukweli though sio utaratibu Wa kibongo
 
njia sahihi ni kumweleza lililoko moyoni
 

Penda unakopendwa acha uzumbukuku....!
 
Ni dalili gani ulizomuonesha mpaka hajakuelewa ili tukubadilishie mbinu

Hivi mnadhani sisi tunaweza kushawishiwa kupenda mwanamke? Mnachoweza kufanya ni kumshawishi mwanaume akutamani akula papuchi ila ujue after haupo moyoni mwake ukiona unatafuta ukaribu na mwanaume hakutongozi ujue either ana mtu wake au haumvutii ata kidogo.
 
EEEH mUNGU MBONA MIMI HATOKE MDADA KAMA WEWE?

KWELI KWENYE MITI HAKUNA WAJENZI WALA WAKATA KUNI

MWAMBIE RAFIKI YAKE ATAKUSAIDIA SANA
 
ukiona uko karibu na mwanaume na haonyesh dalili za kukuta jua kwamba c hajakupenda tu hata kukutaman hajakutaman mwaya cha msingi subiri atakaekupenda coz ukilamisha utaishia kuliwa papuch na kutemwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…