Sina Uhakika
Member
- Aug 22, 2014
- 6
- 1
Umekutana nae katika mazingira gani, kazini,barabarani,mtaani,club,church bar au mnakaa mtaa mmoja, then nitarudi kukushauri madam.
watakua wamekutana kwenye vilabu vya mbegeUmekutana nae katika mazingira gani, kazini,barabarani,mtaani,club,church bar au mnakaa mtaa mmoja, then nitarudi kukushauri madam.
Mimi ni msichana kuna mwanaume mmoja nimetokea kumpenda sana kutoka moyoni, ila sijui nianzie wapi kumwambia dukuduku lilipo moyoni mwangu, na tayari nimesha muonesha dalili zote kuwa nampenda.
Ila hana muda na mimi, ndugu zangu naumia sana kila napo ninapomwona.
Nitumie njia gani ili niweze kuwa nae?
Karibuni