Ushauri wenu unahitajika katika hili

Akipiga usipokee
Akitext usijibu....usimblock mwache akutafute atachoka


Tena bahati nzuri mwenye tumbo ni yeye so obviously mimba ni yake
Huwezi ukachochea mwanamke mwenzio atelekezwe na mimba...mkuu kuwa na utu....

am better here
 
Maneno huumba mkuu be wise....

am better here
 
Ngoja niseme kitu nimeona wanaume umu wanakusapoti ukane mimba ya uyo Dada mkuu kaa jitafakari kwann kakuchagua wewe na sio wengine...apo utasema kakuona zoba, kwan ukilea mimba na mtoto akazaliwa na afya njema utapungukiwa nini mkuu zaidi sana utazidishiwa sana....hospital zipo kama una wasiwasi piga mahesabu yako vzuri nendeni kwenye vipimo vikubwa vya ultrasound inaweza ikaondoa utata wailo swala....wanaume wengi wasasa wanaona kama fashion kukana mimba zen mtoto akikua wanaanza kuwafatilia na kupigapiga simu ovyo...huo ujinga acheni , kama mwanamke huna mpango nae yanini umwagie ndani ??? Mimba ikiingia mnaluka mita mia...ifike kipindi mbadilike na nyie wame za watu wenye michepuko acheni umalaya wa kuzaa nje...huna future na mwanamke usimzalishe bora mbaki mnabuludishana kuliko kuleta excuse za alintegeshea mimba kisa kaniona nakazi nzuri jaman jilekebisheni nyie watu....

am better here
 
Ukome kupigia kura vyama tawala
 
Amekukumbuka wewe sababu amekuona muoga wewe mwambie siijuui iyo mimba block badili laini ama mtaa yani ukae miezi mi5 uniletee mimba kakuona kiazi ndiyo maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…