Inawezekana mkuu..yaan nakosa raha mbaya zaidi anasema atakuja Hadi ofisini kumweleza bosi wangu..Mkuu hivi wanawake unawajua? Mwanamke anaweza akakaa na wewe miaka 20 ukimkorofisha tu anakuambia huyu mtoto Jesca siyo wako ameona hakuna sehemu nyingine ya kuponea shida zake hata kama bodaboda wamemdunga anaona wewe una smartphone, mjasiriamali, labda una kadi za benki.
Nakubali,,lakini alinambia tu ana mazungumzo na mm basi nilipotoka job nikamtafuta ndo akanieleza hayo...ckutaka kumkarahisha pale so nikawa namchukua maelezo taratibu kumbe ndo najiroga akaona ameshaniokota Kama chupa ya chai.najutaUlipokosea ni kuanza kumdadisi kwamba kwann hakukwambia siku zote hizo, hapa ndipo ulikaribisha tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli aisee....anaweza akakufurahisha na akakuvuruga ndani ya muda mfupiUsitake Sana Kuwaelewa wanawake Mkuu
Sasa nimuhudumie tu halafu toto linatoka co langu ...majanga haya
Ni kweli.hofu inanijia maana anasema atakuja ofcn ikishindikana atakwenda mbele. Huko mbele ndo nahahatika cjui ni wapiAkipiga usipokee
Akitext usijibu....usimblock mwache akutafute atachoka
Tena bahati nzuri mwenye tumbo ni yeye so obviously mimba ni yake
Nimecheka sana hii komment[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu hivi wanawake unawajua? Mwanamke anaweza akakaa na wewe miaka 20 ukimkorofisha tu anakuambia huyu mtoto Jesca siyo wako ameona hakuna sehemu nyingine ya kuponea shida zake hata kama bodaboda wamemdunga anaona wewe una smartphone, mjasiriamali, labda una kadi za benki.
Utumbo?? Unafikiri mimba inaingia kwa miaka mingapi labda??
Nimekaza kinoma ila kazn anapajua ndo shida inapoanzia hapo.Mwambie tu hiyo mimba sio yangu,wala usijisumbue. Na ni kweli sio yako. Kwa mtindo huo kwa nini ghafla tu awe busy na wewe,baada ya kimya cha miezi mi5. Anakupima na wewe ukiregea imekula kwako. Komaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninapoishi hapajui...dah kwahiyo ulikula tunda bila ndomu? tena mtu ambaye hujui hata background yake na ukamalizia ndani, hivi huo ujasiri mnautoaga wapi aisee, anyways wewe kaza kwamba sio yako mradi asiwe anajua unapoishi atakuletea vagi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwa mara moja ....ila kwa akili za kawaida tu huoni nduguyo nauziwa mbuzi kwenye gunia....Tena ameanza kuniambie eti anataka kujua jina la baba na ukoo kwaajili ya cliniki mm nikamjibu shortly kua "Kaa mbali na maisha yangu"Utumbo?? Unafikiri mimba inaingia kwa miaka mingapi labda??
Hivi ni kwa nini huwa mnaogopa sana watoto😂😂😂😂Yaani utafikiri umeambiwa unachinjwa??Ni kwa mara moja ....ila kwa akili za kawaida tu huoni nduguyo nauziwa mbuzi kwenye gunia....Tena ameanza kuniambie eti anataka kujua jina la baba na ukoo kwaajili ya cliniki mm nikamjibu shortly kua "Kaa mbali na maisha yangu"
Sent using Jamii Forums mobile app